Jini at work!Bei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.
hiyo si hela kodi uswahilini miez mitatuDiamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana kwenye ndege
Jini at work!
Toa za 10,000 kumi tu na moja ya 5,000 hutaona nyingi.!
!
Yaani nikatoe noti za shilingi mia tano tano takribani mia mbili na kumi hivi ili ninunue pafyumu tu? mkiniona ndugu zangu mnikamate mnipeleke kwa mganga nitakuwa nimerogwa.
Toa za 10,000 kumi tu na moja ya 5,000 hutaona nyingi.
Umeshaijaribu? David off cool water haifiki level za Chibu. Jaribu utaleta majawabu.Tushakusikia......tunatumia Calvin clein, davidoff na zingine za ivo product za bongo nyingi zina ubora wa bongo movie! Samahani kama nimekukera
Sasa wewe mbona unapaka marashi ya kishamba wanapaka wakongo alafu unadharau unyunyu wa level za Chibu? Unajichoresha kwa wajanja.Niache kutumia poison, CK , miyake RL, eti nipulizie chibu ya kibongo muvi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] iyo amuuzie bashite na le mtumboz