Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

1.Perfume ( ghali mno)
2.Eau de perfume( CHIBU ipo hapa)
3. Eau de toilette ( zile tununuazo sana chini ya elfu 40)
4. Eau de cologne

Bora kuliko ni namba 1. Kawaida kabisa namba 4. Thank me later.
 
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana kwenye ndege


hiyo si hela kodi uswahilini miez mitatu
 
CHIBU ni kirefu cha nini? au hili neno ni asili ya wapi?
 
Mimi nanukia kwa 6,000/= tu........ Hiyo 105,000 /= ni bajeti ya miaka miwili kasoro kidogo.........
 
Mimi nanukia kwa 6,000/= tu........ Hiyo 105,000 /= ni bajeti ya miaka miwili kasoro kidogo.........
 
Tatizo kuzungukwa na watu aina ya bashite ata market strategy hawajui ndo ili wewe mtu mashabiki zako ni hawa watoto wa mbwa uku tandale na vitozi vya vyuoni uko leo watoe laki + kisa hewa
 
!
!
Yaani nikatoe noti za shilingi mia tano tano takribani mia mbili na kumi hivi ili ninunue pafyumu tu? mkiniona ndugu zangu mnikamate mnipeleke kwa mganga nitakuwa nimerogwa.
 
Jini at work!

Eeeeh nilitegemea ingekuwa juu ya laki 2 nilishapanga hata iwe laki 3 keasababu ni Almasi ningenumua tu, kama navyonunua nazotumia kwa bei hizo na zaidi.
Naona kawaonea huruma wengi nyie msiikose. Sasa hapo huoni nimeandika kiakili au? Tabu ni hamuulizi mnadakia tu...
Ningeandika ni bei ndogo, ungeandika kuwa wewe ni jini? Ha ha haaaaaaaaa

JF idumu, hatujuani eeeeh
 
10c2f772fd768a7eda0cb4a1fa3931d3.jpg


Viwango vya hii perfume ni vya kimataifa.

Ina harufu nzuri inayonukia bila kuumiza .

Inafanana kabisa na Creed level za marashi yake.

Badala ya kuagiza au kununua hizi pafyumu za designers wa nje ni heri tumsapoti ndugu yetu mwekezaji wa ndani.

Kama unaweza pata viwango vya mbele kwenye Chibu perfume kwa bei chee (bei chee kwa wale wadau wa pafyumu za kueleweka) kwa nini ukanunue za nje?

Nawasilisha.
 
Tushakusikia......tunatumia Calvin clein, davidoff na zingine za ivo product za bongo nyingi zina ubora wa bongo movie! Samahani kama nimekukera
Umeshaijaribu? David off cool water haifiki level za Chibu. Jaribu utaleta majawabu.
 
Niache kutumia poison, CK , miyake RL, eti nipulizie chibu ya kibongo muvi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] iyo amuuzie bashite na le mtumboz
Sasa wewe mbona unapaka marashi ya kishamba wanapaka wakongo alafu unadharau unyunyu wa level za Chibu? Unajichoresha kwa wajanja.
 
Back
Top Bottom