Niache na uelewa wangu. Nimesema nilichotaka kukisema kwa wakati niliousema.Una hakika kila aliyelalamika bei hapa ni hater wa huyo Diamond?
Sijui una uelewa gani, lakini kwani kulalamikia bei ni sawa na kuponda bidhaa ya huyo Diamond.. Apart from Mziki, wengine tulihoji ile clothing line yake inafanyaje sokoni? Mbona huku mtaani hatuoni watu wakivaa hizo brand za WCB.
mkuu hiyo lazima itapigwa kopi tu na hapo ndio tutakapo nunuaNo nasubiri Mchina atoe copy (feki/sumu) atuuzie kwa Tsh. 3,000/= tu Kariakoo.
Lady VanNiache na uelewa wangu. Nimesema nilichotaka kukisema kwa wakati niliousema.
Adios!
U wish u were chibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lady Van
haya yote ni kwa sabab ya chibu tu!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
i wish ..........
mkuu hiyo pafyumu ya laki asee huni nunulishiUDV elfu 18 inanitosha. Sitadhurika kwa kutumia pafyum ya bei ndogo.
hili ngoja nikwambie hapa hapa, hadharani, yaan had sku hizi naanza kumchukia chibu [emoji23]U wish u were chibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My dear am ready to fight for you. I always do that to the people i like/love.
Acha hizo sasa. Maana ukimchukia tunaweza kua maadui [emoji19] [emoji19] [emoji19] upendo sio km wa mimi na wewe. Ni wa fan na msanii basihili ngoja nikwambie hapa hapa, hadharani, yaan had sku hizi naanza kumchukia chibu [emoji23]
duuuh!! yaan upendo wa msanii, ambao nilimchukia, mimi ndio ntaondoka!! mweeer!!!Acha hizo sasa. Maana ukimchukia tunaweza kua maadui [emoji19] [emoji19] [emoji19] upendo sio km wa mimi na wewe. Ni wa fan na msanii basi
Okey let's go and talkduuuh!! yaan upendo wa msanii, ambao nilimchukia, mimi ndio ntaondoka!! mweeer!!!
we need to talk, tena boldly over this
kweli ,tueke sawa hiiOkey let's go and talk
Dah nimechekaaaHiyo ni bei kwa chupa. Mashabiki wake mpaka leo wananunua perfume kwa mpulizo. Kama mpulizo mmoja 500, ukitaka 4 unalipa 2000
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaani pafyumu inaitwa chibu!!!!
Kama jina la dawa ya kalumanzila!!!!!
Hahaaaa dah hatary sanaaWe kama huwezi nunua kanunue vi kuruthumu vya 2000 buguruni. Watu wananunua pafyum mpaka 500,000 we unahanya na 105,000?
Usawa huu wa magu mbona kazi anayo
Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
Hahaa dah unanivunja mbavuKwani hakuna size ya vichupa vidogo (vile vya jerojero gulioni)
Na je hawauzi ya kupima au ya paketi ndogo kama viroba.?
Ahghh..! Kumbe mmesema perfume mie nlikuwa sijaelewa vizuri!
Kweli kabisaaTatizo lenu ni kwamba hata kama ninyi ndiye washauri wa huyo bwana basi mtazidi kila siku kumshauri vitu ambavyo sana sana vitamchelewesha kufika akutakako..
Subiri nikupe mfano mdogo tu ambao hata yeye kama atasoma hapa naamini atauzingatia.. Diamond nasikia ana zaidi ya mashabiki Million 2 kwenye mitandao. Kati ya hao almost 90% ni vijana below 30 yrs na kati ya hao 90% ambao ni vijana karibia 70% yao ni wanafunzi na vijana wasio na uwezo/kipato cha kueleweka.. Kwahiyo tunaweza sema 80% ya mashabiki wake sio watu wenye vipato vya kueleweka.. Sasa hauwezi ku ignore 80% ya mashabiki wako udili na 20% ambao pia huna hakika kama watapenda kile unachokiweka mezani kwa sababu mbalimbali, either bei au prestige ya hao mashabiki (unafahamu matajiri wetu wanavyohusudu vya nje).
Sasa tuanze kudili na hao 90% ambao ni almost 1.8 Million ambao kila siku wako kwenye mizunguko either ya kishule au kutafuta maisha. Ukiweka kinywaji ambacho utauza kwa shilling 500 tu na kila siku kati ya mashabiki wako hao 1.8M, asilimia 10 pekee ndio wakanunua (hizi ni estimation za chini kabisa pia tumeignore ambao sio mashabiki na wale ambao hawako kwenye mitandao) kwahiyo angalau kwa siku akawa anauza bottles 180,000 kwa hao watu 180,000 kwa shilling 500/- ina maana kwa siku atatengeneza kiasi cha shilling 90,000,000/-.. Hiyo Turnover ya million 90 kwa siku kwa profit margin ya 10% (mostly common to many fast moving products) itamletea faida ya 9,000,000/- kila siku.. Yaani kila mwezi anakuwa na uhakika wa faida ya Million 270.
Hizo perfume hao 20% wakinunua wanaweza kutumia hata mwaka mzima.. Yaani mtu anapulizia akiwa ana special event/occasion ya kuattend na si kupulizia kila siku akiwa kwenye mizunguko ya kawaida.. Unaweza kuta kwa mwaka faida ya hizo perfumes pamoja na bei kuwa kubwa wala isizidi Million 100 wakati akiweka cheap product ambayo kila shabiki ataafford kama mfano wangu hapo juu anatengeneza Million 270 kwa mwezi mmoja tu..
Huyu mtoto anajua sembe 1kg ni 2000!!! Atoe sembe ya daimond 1600 kwa 1kg tutamuelewa.
nilikuwa nadhani ni pesa mingi yenye unaeza nunua nayo shamba. nilipobadilisha kwa currency ya Kenya, nikapata ni pesa moja mbuzi sana.