Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Una hakika kila aliyelalamika bei hapa ni hater wa huyo Diamond?

Sijui una uelewa gani, lakini kwani kulalamikia bei ni sawa na kuponda bidhaa ya huyo Diamond.. Apart from Mziki, wengine tulihoji ile clothing line yake inafanyaje sokoni? Mbona huku mtaani hatuoni watu wakivaa hizo brand za WCB.
Niache na uelewa wangu. Nimesema nilichotaka kukisema kwa wakati niliousema.

Adios!
 
Lady Van
haya yote ni kwa sabab ya chibu tu!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
i wish ..........
U wish u were chibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

My dear am ready to fight for you. I always do that to the people i like/love.
 
U wish u were chibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

My dear am ready to fight for you. I always do that to the people i like/love.
hili ngoja nikwambie hapa hapa, hadharani, yaan had sku hizi naanza kumchukia chibu [emoji23]
 
hili ngoja nikwambie hapa hapa, hadharani, yaan had sku hizi naanza kumchukia chibu [emoji23]
Acha hizo sasa. Maana ukimchukia tunaweza kua maadui [emoji19] [emoji19] [emoji19] upendo sio km wa mimi na wewe. Ni wa fan na msanii basi
 
Acha hizo sasa. Maana ukimchukia tunaweza kua maadui [emoji19] [emoji19] [emoji19] upendo sio km wa mimi na wewe. Ni wa fan na msanii basi
duuuh!! yaan upendo wa msanii, ambao nilimchukia, mimi ndio ntaondoka!! mweeer!!!
we need to talk, tena boldly over this
 
Usawa huu wa magu mbona kazi anayo

Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu

upload_2017-4-27_17-48-21.jpeg
 

Attachments

  • upload_2017-4-27_17-47-36.jpeg
    upload_2017-4-27_17-47-36.jpeg
    4.2 KB · Views: 34
  • upload_2017-4-27_17-48-3.jpeg
    upload_2017-4-27_17-48-3.jpeg
    21.2 KB · Views: 28
Kwani hakuna size ya vichupa vidogo (vile vya jerojero gulioni)
Na je hawauzi ya kupima au ya paketi ndogo kama viroba.?
Ahghh..! Kumbe mmesema perfume mie nlikuwa sijaelewa vizuri!
Hahaa dah unanivunja mbavu
 
Tatizo lenu ni kwamba hata kama ninyi ndiye washauri wa huyo bwana basi mtazidi kila siku kumshauri vitu ambavyo sana sana vitamchelewesha kufika akutakako..

Subiri nikupe mfano mdogo tu ambao hata yeye kama atasoma hapa naamini atauzingatia.. Diamond nasikia ana zaidi ya mashabiki Million 2 kwenye mitandao. Kati ya hao almost 90% ni vijana below 30 yrs na kati ya hao 90% ambao ni vijana karibia 70% yao ni wanafunzi na vijana wasio na uwezo/kipato cha kueleweka.. Kwahiyo tunaweza sema 80% ya mashabiki wake sio watu wenye vipato vya kueleweka.. Sasa hauwezi ku ignore 80% ya mashabiki wako udili na 20% ambao pia huna hakika kama watapenda kile unachokiweka mezani kwa sababu mbalimbali, either bei au prestige ya hao mashabiki (unafahamu matajiri wetu wanavyohusudu vya nje).

Sasa tuanze kudili na hao 90% ambao ni almost 1.8 Million ambao kila siku wako kwenye mizunguko either ya kishule au kutafuta maisha. Ukiweka kinywaji ambacho utauza kwa shilling 500 tu na kila siku kati ya mashabiki wako hao 1.8M, asilimia 10 pekee ndio wakanunua (hizi ni estimation za chini kabisa pia tumeignore ambao sio mashabiki na wale ambao hawako kwenye mitandao) kwahiyo angalau kwa siku akawa anauza bottles 180,000 kwa hao watu 180,000 kwa shilling 500/- ina maana kwa siku atatengeneza kiasi cha shilling 90,000,000/-.. Hiyo Turnover ya million 90 kwa siku kwa profit margin ya 10% (mostly common to many fast moving products) itamletea faida ya 9,000,000/- kila siku.. Yaani kila mwezi anakuwa na uhakika wa faida ya Million 270.

Hizo perfume hao 20% wakinunua wanaweza kutumia hata mwaka mzima.. Yaani mtu anapulizia akiwa ana special event/occasion ya kuattend na si kupulizia kila siku akiwa kwenye mizunguko ya kawaida.. Unaweza kuta kwa mwaka faida ya hizo perfumes pamoja na bei kuwa kubwa wala isizidi Million 100 wakati akiweka cheap product ambayo kila shabiki ataafford kama mfano wangu hapo juu anatengeneza Million 270 kwa mwezi mmoja tu..
Kweli kabisaa
Huyu mtoto anajua sembe 1kg ni 2000!!! Atoe sembe ya daimond 1600 kwa 1kg tutamuelewa.
 
Ukinikuta nimenunua perfume inazidi 15,000 nitakua nimechanganyikiwa, nakuruhusu nikamate nipeleke mirembe
 
nilikuwa nadhani ni pesa mingi yenye unaeza nunua nayo shamba. nilipobadilisha kwa currency ya Kenya, nikapata ni pesa moja mbuzi sana.

Unajua heka moja shilingi ngapi?? Ukienda kijijini unapata heka kwa 70 hadi 50

Mbuzi mmoja ni 30Tshs siku za sikukuu ni 50Tshs pesa ya mbuzi 2 nanunua harufu tu.
 
Back
Top Bottom