Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Subiri wachafu waje na mapovu umempa ushauri mzuri sana halafu market yake siielewe wewe unataka kuanzisha biashara unatoa wimbo wa kuwatukana watz kweli unaakili halafu week hiyo unatoa biashara tatizo kila kitu wanafikiria ni kiki tu
 
Hiyo bidhaa iliandaliwa na Andy -Chande,ni ya Free Mason,Mnunuaji chukua tahadhari
 
Mashabiki wa Mondy wapo manzese,Mbagala ,Temeke na badhi madale,Madereva nodaboda ,na makonda-kta,sasa hao wakipulizia na mijadho si unatengeneza bom la nyuklia?
 
Subiri wachafu waje na mapovu umempa ushauri mzuri sana halafu market yake siielewe wewe unataka kuanzisha biashara unatoa wimbo wa kuwatukana watz kweli unaakili halafu week hiyo unatoa biashara tatizo kila kitu wanafikiria ni kiki tu
Hater on point
 
Hater on point

Watu wanatoa ushauri unasema hater kweli watz kuendelea ngumu lazima asikilize ushauri ukitaka kufanikiwa kukosolewa ndio kujirekebisha haikuwa na sababu ya kutoa wimbo wa bashite labda huna knowlege ya market zero brain
 
Wenzao si wenzio
 
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana kwenye ndege

Free mason at work
 
Mimi ni real hater Wa domo
 
So what
 
Biashara ya sembe sasa ni ngumu,kabadilisha gia angani,mara anauza mziki kwa web mara perfume bado kuuza mkaa tu kama mimi na temba.......Hizo perfume watatumia washkaji zake tu kina makonda,kigwangala,salam,fella na babu tale tu sie tutacheza na Nivea 24 hrs protection za buku tano au issey miyaki feki za buku 5 tu.
 
Watu wanawivu Sana watanzia nani katuloga lakini
 
Subiri wachafu waje na mapovu umempa ushauri mzuri sana halafu market yake siielewe wewe unataka kuanzisha biashara unatoa wimbo wa kuwatukana watz kweli unaakili halafu week hiyo unatoa biashara tatizo kila kitu wanafikiria ni kiki tu
Huwa sitoi like kizembe zembe humu JF lakini hebu kamata hiyo like kwanza...

Yaani umenirudisha kwenye darasa la Marketing nikiwa chuoni, kudos mamaudaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…