ElikanaKuenga
Member
- Oct 7, 2017
- 30
- 21
Yaani huyu mtoa mada ni mpuuzi kweli kweli. Anafikiri hata hao waingereza wenyewe, achia hao waganda wazungu koko, wanafurahia msanii wa kiafrika aimbe kwa Kiingereza? Hao waganda bado hawajielewi kwa hiyo hakuna haja ya kuishi kwa utashi wao. Kwanza hao waganda wanaolalamika ni wachache sana, kwa hiyo asituzengue. Akafie mbele. Kiswahili oyee!Sijaona wakimzomea,bali sauti ya mtu anaeongea.Acha ujinga mtoa post.Kiswahili ni lugha inayokua sana,na ndio maana waandaaji walimpa mtonyo,akafanye show.WANAMUZIKI WANGAPI HAWAIMBI KISWAHILI,NA WANAPENYA KATIKA SOKO LA MUZIKI?tatizo unakariri madesa.Kalale ukue!
Anavyojisifia sasa huko insta na hii show angekuwa anapiga peke yake angekula za uso mbayaaa ashukuru tu ni kama fiester inawasanii wengi wa Uganda Vinginevyo badamu bangemwagikaaDiamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
YAANI HUYU MPINGA MAENDELEOYA WATANZANIA KAJIUNGA JAMII FORUM LEO TU KWA NIA MOJA TU YA DIAMOND NA SHOW YA JANA.HII NCHI TUNA WACHAWI WENGI NDIO RAIS WETU ANAAMUA KUZUIA KILA KITU KWANI HATUELEWEKIDiamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi