Diamond azomewa Stejini Wauganda wadai Arudi Tz Hawamwelewi

Wewe mtanzania ulie andika hapa imekufurahisha nini kama kazomewa lakini pesa yake si kachukua huo ni ufala chuki zako binafsi usiwaambukize wake tz akili kubwa wanao jielewa pambana na hali yako aibu yako kija.mbio we
 
Hasa anapiga show wanapoongea Scottish Scotland na wanamfurahia sembuse hapo kwa wahaya tu
 
Tuache chuki inakusaidia nini akizomewa!... wakati mtonyo jamaa kaingiza
Nimesikiliza actually ni kinyume chake kwani alikuwa akishangiliwa muda wote. Yaani watanzania kwa kuwa alikuwa na mawazo kuwa atazomewa basi imebidi aje na huo uzi wa kizushi.
 
Anaejua kiganda tafadhari naomba anitafsirie hapa
Jamani mnamsema bure mtoa mada, ni kweli walianza kumzomea mpaka yeye anasema kwanza Uganda imebahatika kuwa na wasichana wazuri lakini mtangazaji anasema wapo wanamzomea. Mwingine mwanzoni anasema yanyoye enjaga yaani amevuta bangi. Tatizo wengi hatuelewi lugha ya mtangazaji kwenye hii clip ya pili.
 
Wewe mtanzania ulie andika hapa imekufurahisha nini kama kazomewa lakini pesa yake si kachukua huo ni ufala chuki zako binafsi usiwaambukize wake tz akili kubwa wanao jielewa pambana na hali yako aibu yako kija.mbio we
Ukisikiliza clip ya pili aliyotoa mtu mwingine, watangazaji wa kiganda wanalalamikia kuhusu pesa aliyopewa na hata wanasema jinsi wanavyomzomea. Sema lugha sisi hatuijui. Ila yeye pesa kachukua wenyewe watajiju.
 
Uongo Huu,kwenye mziki watu huja kuangalia vitu vingi ambapo kubwa zaidi watu huvutika na combination ya Melody na Lyric wakati suala la message huja Baadae mno na mara nyingi huboa...Wao Waganda wanaye Mwanamuziki anaimba Kiswahili pia na Wanampenda tu ...ingekuwa vyema wangesema baadhi walizomea sababu ya Diamond KUMTESA Dada yao ZARINA HASSAN kwa mwanadada MOBETO .
Diamond ana nyimbo zake zina UKIINGEREZA pia ambazo hufafanua nyimbo inasema nn.
Mpenzi wa mziki akiipenda nyimbo siyo ya lugha yake huhaha mpk ajue maana.
Huwezi kwenda UKUMBINI km HUMPENDI Mwanamuziki na HUMWELEWI-ELEWI.
 
Mbona Akina kofee Olomide,Fari wanakuja wanaimba kikongo tunafurahia tu shoo!
Hii imekaaje sijaelewa kabisa.
iko simple tu waganda si kama hawamuelewi mondi bali itakywa wamenuna kwa kuwa mondi kafirigisa dada yao halafu kamletea umakumaku
 
wewe jua kuwa E.A. hakuna kama mondi enzi za akina chameleone zimepita sasa ni mondi !hao waganda wanamlilia dada yao tu!
 
Chuki mbaya sana. Mi nimesikia watu wakishout simba simba simba!! Video clip hii hapa chini!
Ila crowd ya waganda imezubaa kiaina, hawana mzuka! Yaani yaonyesha hata uwawekee Dulla Makabila "haujaulamba" bado watakuwa wamelala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…