Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
We jamaa kumbe ni mchawi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Viewing forum Saturday 8:47Last Activity:Oct 7, 2017 at 8:14 PM
Joined:Today
Messages:2
..
Karibu JF..
Nimesikiliza actually ni kinyume chake kwani alikuwa akishangiliwa muda wote. Yaani watanzania kwa kuwa alikuwa na mawazo kuwa atazomewa basi imebidi aje na huo uzi wa kizushi.Tuache chuki inakusaidia nini akizomewa!... wakati mtonyo jamaa kaingiza
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Anaejua kiganda tafadhari naomba anitafsirie hapa
Ukisikiliza clip ya pili aliyotoa mtu mwingine, watangazaji wa kiganda wanalalamikia kuhusu pesa aliyopewa na hata wanasema jinsi wanavyomzomea. Sema lugha sisi hatuijui. Ila yeye pesa kachukua wenyewe watajiju.Wewe mtanzania ulie andika hapa imekufurahisha nini kama kazomewa lakini pesa yake si kachukua huo ni ufala chuki zako binafsi usiwaambukize wake tz akili kubwa wanao jielewa pambana na hali yako aibu yako kija.mbio we
Hivi siku diamond akipotea tutakua na nini cha kujivunia kwa industry ya muziki?
iko simple tu waganda si kama hawamuelewi mondi bali itakywa wamenuna kwa kuwa mondi kafirigisa dada yao halafu kamletea umakumakuMbona Akina kofee Olomide,Fari wanakuja wanaimba kikongo tunafurahia tu shoo!
Hii imekaaje sijaelewa kabisa.
wewe jua kuwa E.A. hakuna kama mondi enzi za akina chameleone zimepita sasa ni mondi !hao waganda wanamlilia dada yao tu!Sijaona wakimzomea,bali sauti ya mtu anaeongea.Acha ujinga mtoa post.Kiswahili ni lugha inayokua sana,na ndio maana waandaaji walimpa mtonyo,akafanye show.WANAMUZIKI WANGAPI HAWAIMBI KISWAHILI,NA WANAPENYA KATIKA SOKO LA MUZIKI?tatizo unakariri madesa.Kalale ukue!
Hahaha...Tutabakiwa na Shishi Trump