Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
chige bana hiyo mimba zari umempa wewe nini ha ha ha haSio kweli, Wema hana tatizo lolote na kila mmoja anafahamu kwamba Diamond ni mgumba... tuache kufichiana maradhi, Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, PERIOD!
hahahaahaaa, you know, you're less informed dude, it's proved beyond reasonable doubt kwamba Diamond hawezi kupiga mimba mwanamke... ask Jokate but don' ask huyo Jokate mpaka sasa ana watoto wangapi kutoka kwa other guys... that'd be none of your concern!! Hata lile tumbo la Zari, kama haweki masponji kutuzuga basi itakua ni mzigo wa Katunzi ule... mpwa warumi anafahamu kila kitu! Kwahiyo nasisitiza with confidence, si kweli kwamba Wema hana uwezo wa kushika mimba... tatizo lipo kwa Diamond! Shituka wangu....
Sio kweli mkuu..Rehema Fabiani aliyekuwa miss Kiswahili alisema kwamba anajuta kutoa mimba ya chibu dangote hahahaha u know..
hahahaahaaa, you know, you're less informed dude, it's proved beyond reasonable doubt kwamba Diamond hawezi kupiga mimba mwanamke... ask Jokate but don' ask huyo Jokate mpaka sasa ana watoto wangapi kutoka kwa other guys... that'd be none of your concern!! Hata lile tumbo la Zari, kama haweki masponji kutuzuga basi itakua ni mzigo wa Katunzi ule... mpwa warumi anafahamu kila kitu! Kwahiyo nasisitiza with confidence, si kweli kwamba Wema hana uwezo wa kushika mimba... tatizo lipo kwa Diamond! Shituka wangu....
Daimond ana matatizo ya akili
Ila Diamond huwa namuona kama ni kiazi fulani hivi...
Ukisikiliza mahojiano yake mengi kuhusu wapenzi wake wa kale, kitu pekee alichokuwa anakihitaji toka kwao ni mtoto tu...
Nimeshasikia akimkandia Penny, Jokate kuwa hao wote walimkatalia kuwa na mtoto naye...
Inaonekana jamaa kwake ndoa na mke sio kitu muhimu, ila mtoto...
Sasa kwa mwanamke smart hawezi kufanywa tu 'baby making machine'...halafu suala la ndoa waishia kumpiga kalenda
Umejua sababu nawe una tatizo hilo.
Amepewa na Katunzi na kama unabisha, muulize warumi!chige bana hiyo mimba zari umempa wewe nini ha ha ha ha
Aisee... unatisha mzazi!!Ahahahaaa!Chige we kweli Great T,hawajakuelewa hata unachomaanisha hapa
Ila Diamond huwa namuona kama ni kiazi fulani hivi...
Ukisikiliza mahojiano yake mengi kuhusu wapenzi wake wa kale, kitu pekee alichokuwa anakihitaji toka kwao ni mtoto tu...
Nimeshasikia akimkandia Penny, Jokate kuwa hao wote walimkatalia kuwa na mtoto naye...
Inaonekana jamaa kwake ndoa na mke sio kitu muhimu, ila mtoto...
Sasa kwa mwanamke smart hawezi kufanywa tu 'baby making machine'...halafu suala la ndoa waishia kumpiga kalenda
We bhana eee... tangu lini Diamond akawa na uwezo wa kumpa mwanamke mimba??!! Mimba ya Katunzi ile na ndo nakuambia sasa, hata hili sakata la sasa kwamba Wema amesema hazai ni moja tu ya drama zao na lengo kutuaminisha kwamba Chibu uwezo wa kupiga mimba anao ili tusiamini maneno ya akina warumi kwamba mimba ni ya Katunzi! Mpwa warumi, hebu njoo umwelimishe mzurimie huku... eti hadi leo bado anaamini mimba ya Zari ni ya Diamond wakati Katunzi mwenyewe ametulia tulii!!! Afu unajua nyepepesi nyepesi nilizopata ni kwamba Katunzi ni chotara fulani hivi... sasa ngoja azaliwe mtoto dizaini ya shombeshombe tuone mwisho wa drama za Diamond!Kwa hiyo huyo Katunzi alilala nae lini? Yaani uliwaonea wapi anampa mimba?
Ex wa zari waliojulikana waliacha sept mwaka jana au news zilizotokaga wakati huo zilidanganya?
Umejua sababu nawe una tatizo hilo.
Mpwa, kwanini huamini? Usisahau mpwa kwamba wanadamu maono hatuyapati wote kwa pamoja! Wakati mabilioni ya watu wanaamini Yesu ni Mungu na hilo kuhubiriwa kwa zaidi ya miaka 2000 sasa, bado kuna wengine hawajaamini kwamba Yesu ni Mungu kwahiyo usishangae mimi kupata maono sasa! Chambilecho, kwanini alitudanganya na bado anaendelea kutudanganya kwamba mimba ni yake wakati ni ya Katunzi??!! Kuhusu akina Kiba, si unajua King sio mtu wa show off kwahiyo hawezi kufanya mambo kama hayo! King huwezi kumsikia hata suala la kwamba anamiliki hiki au kile kwa kuwa kufanya hivyo itakuwa ni kuwananga mashabiki weke masikini... kwahiyo asingeweza kusema kwamba kapiga mimba huku mara kule na kuwananga mashabiki wake wasio na uwezo wa kupiga au kushika mimba! Pia usisahau mpwa, King mstaarabu, King sio Kicheche kama huyu mwehu mgumba kwahiyo mimi nina uhakika hata wale watoto wanamsingizia tu lakini kv hapendi kuwaadhi mashabiki wake, ndo hivyo tena kamua tu kukubali lakini King hawezi kuzaa watoto watatu nje ya ndoa na mama watatu tofauti, NEVE EVER! Na hapa ndipo utaamini ule msemo, Mungu sio warumi, manake huyu malaya Diamond ingekuwa ndo kapewa uwezo wa kupiga mimba, hici sasa tayar ingekuwa ana timu ya basketball kama sio ya soka kabisa huku kila mchezaji akiwa na mama yake! Mungu anayaweza wewe, usifanye masihara mpwa.Bado siamini huyu ni chige au lah!!.
Mimi kinachonishangaza kwa nini alitudanganya kuwa aliwahi mpa mimba wema mara mbili ikatoka wakati sio ukweli? KWa nini anatumia nguvu nyingi kuthibitisha urijali wake wakati anajijua? Mbona akina kiba wana watoto ila hawajawahi kupiga kelele walivyowapa mimba mademu zao
Bado siamini huyu ni chige au lah!!.
Mimi kinachonishangaza kwa nini alitudanganya kuwa aliwahi mpa mimba wema mara mbili ikatoka wakati sio ukweli? KWa nini anatumia nguvu nyingi kuthibitisha urijali wake wakati anajijua? Mbona akina kiba wana watoto ila hawajawahi kupiga kelele walivyowapa mimba mademu zao
chige bana hiyo mimba zari umempa wewe nini ha ha ha ha
Ilikuwaje akatudanganya alimpa wema mimba mara mbili ikatoka? Ndo kujifanya kidume wakati garasa nfyuuu
Swali zuri la kujiuliza wenye akili watang'amua.