warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Watoto wa diamond walotangulizwa mbele ya haki wanaweza wakaunda team ya mpira.
Watoto gani? Kama shahawa ata mbuzi anazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa diamond walotangulizwa mbele ya haki wanaweza wakaunda team ya mpira.
Usijifanye unanijua mtoto wa kike!Anajifanya anaongea kinyume siku izi.
Muwe mnasema ukweli, mbona ulimdundaga wema south mpaka akapata miscarriage.
Mpwa, kwanini huamini? Usisahau mpwa kwamba wanadamu maono hatuyapati wote kwa pamoja! Wakati mabilioni ya watu wanaamini Yesu ni Mungu na hilo kuhubiriwa kwa zaidi ya miaka 2000 sasa, bado kuna wengine hawajaamini kwamba Yesu ni Mungu kwahiyo usishangae mimi kupata maono sasa! Chambilecho, kwanini alitudanganya na bado anaendelea kutudanganya kwamba mimba ni yake wakati ni ya Katunzi??!! Kuhusu akina Kiba, si unajua King sio mtu wa show off kwahiyo hawezi kufanya mambo kama hayo! King huwezi kumsikia hata suala la kwamba anamiliki hiki au kile kwa kuwa kufanya hivyo itakuwa ni kuwananga mashabiki weke masikini... kwahiyo asingeweza kusema kwamba kapiga mimba huku mara kule na kuwananga mashabiki wake wasio na uwezo wa kupiga au kushika mimba! Pia usisahau mpwa, King mstaarabu, King sio Kicheche kama huyu mwehu mgumba kwahiyo mimi nina uhakika hata wale watoto wanamsingizia tu lakini kv hapendi kuwaadhi mashabiki wake, ndo hivyo tena kamua tu kukubali lakini King hawezi kuzaa watoto watatu nje ya ndoa na mama watatu tofauti, NEVE EVER! Na hapa ndipo utaamini ule msemo, Mungu sio warumi, manake huyu malaya Diamond ingekuwa ndo kapewa uwezo wa kupiga mimba, hici sasa tayar ingekuwa ana timu ya basketball kama sio ya soka kabisa huku kila mchezaji akiwa na mama yake! Mungu anayaweza wewe, usifanye masihara mpwa.
Daimond ana matatizo ya akili

Mbona wema alisema hajawai kupata mimba ya mwanaume yyte au alikuwa anadanganya
Kim, vipi tena mpwa?!?Ahahahahahahahaha!!!!mbavu zangu leooo!!
Kim, vipi tena mpwa?!?
anhaaa! basi sawa mpwa manake nilidhani unafurahia kusikia mwenzako mgumba kwahiyo hadi asaidiwe na akina Katunzi ndo aanze kujishembundua wakati kila kitu kipo wazi...mi nafurahi tu mpwa wangu leo bwanah!nimekula chakula kizuri leo basi burudani tu hapa nashushia maji!!
Amepewa na Katunzi na kama unabisha, muulize warumi!
Kwa penny nae ivi ivi alisema alimnunulia brevis ya kwendea clinic wakat peny alikanusha hajawahi kupewa mimba na diamond, mmh kizungu zungu
Watoto gani? Kama shahawa ata mbuzi anazo
Mbona wema alisema hajawai kupata mimba ya mwanaume yyte au alikuwa anadanganya
Mpwa warumi, hivi si ilikuwa mwaka 2014 Spetmber 14, saa nne asubuhi vile; au? Afu jina la kwanza la Katunzi nani vile?Kapewa ulikuwepo? Si useme tarehe na mwezi na mwaka bila kusahau saa waliodu kitendo...
Sema na facts kuwa ilikuwa hivi na hivi na niliona sio kutunga.
Huyo katunzi mwenyewe hamumusemi hata full name hamshuki...
Mmmh
Yaan wew ni mwendawazimu kabisa tena shika adabu ukiniona pita mbali bi*t*ch
Aaagh najua bado unaumia ukiona D anazungumziwa basi unapata chance ya kuandika mihasira yako lazima alikufanyia kitu ambacho unaumia roho hadi leo
Sijawahi kuona fan anafurahia kuona msanii anaongelewa vibaya bila sababu maandishi ya hasira...
Ona hadi unanitukana eeehhh limekurudi wewe ndio biachi ulijuaje mie niko hivyo kama wewe sio
Andika maneno yako vizuri ukitaka usomeke kivingine...
Roho inakuungua mtotobwa Tandale anakukimbizaaaaaaaaaaaa
Bora mtu akose mali kuliko akakosa akili kama wew pu*nguani....eti naumia roho nyoooooo muone vile kwamba wewe ni mke mdogo wake au? Maana kinakukuuuuuunaaaa na akati ata hakujuii.... acha kufata mikumbo ya ajabu ajabu kwenye ukweli lazma aambiwe ili aepukike na ujinga ulio nao wew.Aaagh najua bado unaumia ukiona D anazungumziwa basi unapata chance ya kuandika mihasira yako lazima alikufanyia kitu ambacho unaumia roho hadi leo