Diamond azungumzia kuhusu tatizo la Wema kutopata mtoto

Diamond azungumzia kuhusu tatizo la Wema kutopata mtoto

bwah! bwah! bwah! Lots of baseless shouting! Why shouldn't we dance first? Here we go-- :violin::msela: :majani7::target::lock1::bump2::llama:

Niondolee uboya wako hapa.
I know well how to play ngoma za kiswahili to the levels u cant even imagine.
U can save ur energy or waste it on this bullshit...I have time u knw.
 
Mwanangu nifah hizi topic unazipendaga eeh?

Watajuana wenyewe bwana, wameamua kujivua nguo hadharani acha wapambe tuangalie movie kwa raha zetu.
Haya hayakua mambo ya kusemwa hadharani kabisa.
 
Niondolee uboya wako hapa.
12.jpg
 
Nita-pretend kwamba sijaona!!!
ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mie
 
ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mie

Ha ha
Ni kweli tulikua tunachambana sasa tukafikia kipande cha kutawazana ndipo nilipogundua hali ya tofauti kwa mwenzangu.
Dunia imeharibika sana.
 
Kuna muda mtu unapita njia unasimama ku_refresh mind kwa newspaper heading flani, nakuona mtu flani as if my daughter here.

Sana tu dady TODAYS!
Wewe pia unaonekana unazipenda maana umeonaje?
 
Last edited by a moderator:
Eh kwa hyo naongopa diamond hakiwahi sema kampa mimba wema ikatoka? Utafungwa wewe ooh, kama hujui nyamazaaaaa
usharekebisha usemi tayari...kuwa alimpa mimba ikatoka(sijawahi iskia hii) ila mimba mbili ni za penny....hadi hapa tuko pamoja
 
ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mie
Duh! We sasa ndo unataka kunichekesha mimi... yaani nichambane na mtu mimi!!!
 
Kuna muda mtu unapita njia unasimama ku_refresh mind kwa newspaper heading flani, nakuona mtu flani as if my daughter here.

Haya dady basi sio kila newspaper uwe unasoma heading na habari yenyewe,ipo siku utanikuta napiga umbea huku hadi aibu utaona wewe!
 
Back
Top Bottom