bwah! bwah! bwah! Lots of baseless shouting! Why shouldn't we dance first? Here we go-- :violin::msela: :majani7::target::lock1::bump2::llama:
Watajuana wenyewe bwana, wameamua kujivua nguo hadharani acha wapambe tuangalie movie kwa raha zetu.
Haya hayakua mambo ya kusemwa hadharani kabisa.
Nita-pretend kwamba sijaona!!!ishieni huko na huyo invisible katunzi
celeb forum mawazo gani wayataka hapa?Yes.........hizi ndizo akili zetu na uwezo wetu,hapa tuchanganye na za mbayuwayu....wajameni tutabakia nyuma sana.Tupeane mawazo chanya ili tuweze kujikwamuwa tuachane na hizi mambo za jikoni.
acha uongooooo alopewa mimba mbili zikatoka/akatoa ni penny sio wemaIlikuwaje akatudanganya alimpa wema mimba mara mbili ikatoka? Ndo kujifanya kidume wakati garasa nfyuuu
ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mieNita-pretend kwamba sijaona!!!
Weee, ataishia kutombeka tu na kuvunja ndoa ya dokita wetu handsome boi.
Yeye alisema hawez kuolewa tz so angoje mwarabu akishamuoa atapata mimba tu tena bila 'miscarriage' .
ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mie
pwanya road wana hasira kocha wao hayupo na dai af kachukua goma la maanaUmejua sababu nawe una tatizo hilo.
muongo huyo alikiri kua alipata ya kanumba akaitoa et alikua mdogo angoje akikua atapata nyingineMbona wema alisema hajawai kupata mimba ya mwanaume yyte au alikuwa anadanganya
acha uongooooo alopewa mimba mbili zikatoka/akatoa ni penny sio wema
ntaamini mimba ya zari ni ya katunzi kama huyo katunzi ndo WARUMI bwahahahaaaaKapewa ulikuwepo? Si useme tarehe na mwezi na mwaka bila kusahau saa waliodu kitendo...Sema na facts kuwa ilikuwa hivi na hivi na niliona sio kutunga.Huyo katunzi mwenyewe hamumusemi hata full name hamshuki...Mmmh
usharekebisha usemi tayari...kuwa alimpa mimba ikatoka(sijawahi iskia hii) ila mimba mbili ni za penny....hadi hapa tuko pamojaEh kwa hyo naongopa diamond hakiwahi sema kampa mimba wema ikatoka? Utafungwa wewe ooh, kama hujui nyamazaaaaa
Duh! We sasa ndo unataka kunichekesha mimi... yaani nichambane na mtu mimi!!!ha ha ha chige ngoja ncheke kwanza mi nmefikia kujibu quote tu nkua sijasomathread mweh kumbe mshachambana humu na nkafikia kujibu tu kumbe ni part of kichambo sorry nmejibu mie kama mie
humjui warumi?ni kiberenge kote kote anaendaDuh nilikushtukiaga kuwa unajibalance ila weye sio fan wa D, eti mwandishi wa habari au nimekosea?
Kuna muda mtu unapita njia unasimama ku_refresh mind kwa newspaper heading flani, nakuona mtu flani as if my daughter here.