Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wengi choka mbaya mule. Kuna siku nilimuona malkia wa insta miguu michafu, weaving feki. Yan inshort yale maandishi yangeonesha na watu maisha yao halisi hakuna ambaye angesema utumbo. Na wengi wao ata vingereza vya kuunga unga 2. Wanatafuta followers wafanye matangazo wapate hela ya matumiz majumbani kwao. Uswahili mtupu.nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.
nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
wa hovyo hovyo wanaonyesha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weaving fake heri mie nimenyoa!Wengi choka mbaya mule. Kuna siku nilimuona malkia wa insta miguu michafu, weaving feki. Yan inshort yale maandishi yangeonesha na watu maisha yao halisi hakuna ambaye angesema utumbo. Na wengi wao ata vingereza vya kuunga unga 2. Wanatafuta followers wafanye matangazo wapate hela ya matumiz majumbani kwao. Uswahili mtupu.
Exactlynimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.
nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
HeheWengi choka mbaya mule. Kuna siku nilimuona malkia wa insta miguu michafu, weaving feki. Yan inshort yale maandishi yangeonesha na watu maisha yao halisi hakuna ambaye angesema utumbo. Na wengi wao ata vingereza vya kuunga unga 2. Wanatafuta followers wafanye matangazo wapate hela ya matumiz majumbani kwao. Uswahili mtupu.
Exactly
Mama ni mama
Yaani hizi team hazina adabu kabisa
Kama huyo anayejiita zarinah soldier kutwa kumtukana mama domo
Hivi nia yao ni nini?
Hawana adabu
Ila wakome maana wakati wanamtukana na kum-edit mama wema hawakuwakemea
nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.
nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
nini nya wanione shombo kabisa!!!!Hata wao wanakudharau sana wanakuona kama nya
HaswaaaaIla wale mi nasema low life kuna mmoja team Zari anajiita coffee table nahisi ni mganda choka mbaya Sanaa!
Diamond na Zari pia hawana akili kwa sababu wangekua na hekima wasingeruhusu wazazi wao watukanwe!
Halafu hao watukanaji ni low life kweli kwelinini nya wanione shombo kabisa!!!!
Ila huo ndo ukweli!
Nimeona pia IG mi nasema yule Zari ndo kalike diamond nakataaHaswaaaa
Halafu Kuna mmoja amemtusi mama domo na domo analike picha zake
Nineishia kushangaa kwa kweli ( ilitokea wiki iliyopita nadhani)
Aibu tupu matusi wanayoyatoa mule jamani looohh!!Halafu hao watukanaji ni low life kweli kweli
Huyo coffee table nilipopitia tu page yake nikapata kichefuchefu nikasepa (mfano kama duller squre yule??? Si wa kumhurumia tu.... acha atukane apate kuishi mjini...)
Inawezekana zari mwenyewe ndio kalike kutunia ac ya daiNimeona pia IG mi nasema yule Zari ndo kalike diamond nakataa
Na Daimond akitaka afulie amkere mama yake!
Wanawake hawa wa kuwapata ukubwani wakuchonganishe na mzazi aliyekulea toka nitoke tena bora ungemkuta bikraa!
Kote wamemshindwa kina Ivan,Farook we ndo utamuweza?!!
Hata mie nahisi duller ni mchele mchele...maana si kwa mitusi ile mtoto wa kiume anaitolea wapiAibu tupu matusi wanayoyatoa mule jamani looohh!!
Kama hatuwazaa sie!
Yaani sasa hivi IG ni uwanja wa matusi tu!!!
Duller ni gay yule,sio bure! maana ndo wana matusi Yale!