Diamond azungumzia ugomvi wa Zari na mama yake na michepuko

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao
Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri
 
nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.

nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
 
Domo kajibu vizuri hii interview.. Kumbe kweli Ivan kampangia nyumba zari SA
 
nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.

nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
Wengi choka mbaya mule. Kuna siku nilimuona malkia wa insta miguu michafu, weaving feki. Yan inshort yale maandishi yangeonesha na watu maisha yao halisi hakuna ambaye angesema utumbo. Na wengi wao ata vingereza vya kuunga unga 2. Wanatafuta followers wafanye matangazo wapate hela ya matumiz majumbani kwao. Uswahili mtupu.
 
wa hovyo hovyo wanaonyesha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weaving fake heri mie nimenyoa!

Wanatukana ili wapate followers kinguvunguvu wafanye matangazao waunge unge!!

Pole yao sana!
 
nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.

nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!
Exactly

Mama ni mama

Yaani hizi team hazina adabu kabisa

Kama huyo anayejiita zarinah soldier kutwa kumtukana mama domo

Hivi nia yao ni nini?

Hawana adabu

Ila wakome maana wakati wanamtukana na kum-edit mama wema hawakuwakemea
 
Wengi choka mbaya mule. Kuna siku nilimuona malkia wa insta miguu michafu, weaving feki. Yan inshort yale maandishi yangeonesha na watu maisha yao halisi hakuna ambaye angesema utumbo. Na wengi wao ata vingereza vya kuunga unga 2. Wanatafuta followers wafanye matangazo wapate hela ya matumiz majumbani kwao. Uswahili mtupu.
Hehe

Na mara nyingi watukanaji ukipita profile zao (acha wale fake ids) unagundua ni ugumu wa maisha
 
Exactly

Mama ni mama

Yaani hizi team hazina adabu kabisa

Kama huyo anayejiita zarinah soldier kutwa kumtukana mama domo

Hivi nia yao ni nini?

Hawana adabu

Ila wakome maana wakati wanamtukana na kum-edit mama wema hawakuwakemea

Ila wale mi nasema low life kuna mmoja team Zari anajiita coffee table nahisi ni mganda choka mbaya Sanaa!

Diamond na Zari pia hawana akili kwa sababu wangekua na hekima wasingeruhusu wazazi wao watukanwe!
 
nimewadharau wale wajinga waliosambaza meseji wanazodai ni za mama daimomd akishawish watu wamtukane zari.

nimegundua IG zile team nyingi ni waswahili wanaopoza uchungu wa maisha kwenye social media ndo maana wana matusi sana!

Hata wao wanakudharau sana wanakuona kama nya
 
Ila wale mi nasema low life kuna mmoja team Zari anajiita coffee table nahisi ni mganda choka mbaya Sanaa!

Diamond na Zari pia hawana akili kwa sababu wangekua na hekima wasingeruhusu wazazi wao watukanwe!
Haswaaaa

Halafu Kuna mmoja amemtusi mama domo na domo analike picha zake

Nimeishia kushangaa kwa kweli ( ilitokea wiki iliyopita nadhani)
 
nini nya wanione shombo kabisa!!!!

Ila huo ndo ukweli!
Halafu hao watukanaji ni low life kweli kweli

Huyo coffee table nilipopitia tu page yake nikapata kichefuchefu nikasepa (mfano kama duller squre yule??? Si wa kumhurumia tu.... acha atukane apate kuishi mjini...)
 
Haswaaaa

Halafu Kuna mmoja amemtusi mama domo na domo analike picha zake

Nineishia kushangaa kwa kweli ( ilitokea wiki iliyopita nadhani)
Nimeona pia IG mi nasema yule Zari ndo kalike diamond nakataa

Na Daimond akitaka afulie amkere mama yake!

Wanawake hawa wa kuwapata ukubwani wakuchonganishe na mzazi aliyekulea toka nitoke tena bora ungemkuta bikraa!

Kote wamemshindwa kina Ivan,Farook we ndo utamuweza?!!
 
Halafu hao watukanaji ni low life kweli kweli

Huyo coffee table nilipopitia tu page yake nikapata kichefuchefu nikasepa (mfano kama duller squre yule??? Si wa kumhurumia tu.... acha atukane apate kuishi mjini...)
Aibu tupu matusi wanayoyatoa mule jamani looohh!!

Kama hatuwazaa sie!

Yaani sasa hivi IG ni uwanja wa matusi tu!!!

Duller ni gay yule,sio bure! maana ndo wana matusi Yale!
 
Nimeona pia IG mi nasema yule Zari ndo kalike diamond nakataa

Na Daimond akitaka afulie amkere mama yake!

Wanawake hawa wa kuwapata ukubwani wakuchonganishe na mzazi aliyekulea toka nitoke tena bora ungemkuta bikraa!

Kote wamemshindwa kina Ivan,Farook we ndo utamuweza?!!
Inawezekana zari mwenyewe ndio kalike kutunia ac ya dai

Maana mie haijaniinyia akilini kwa kweli

Kule the celeb chronicle anadai zarinal soldier na getfacts ni Zari, sitashangaa kama kuna ukweli...ila nitasikitika kwa matusi anayotiririsha

Dai mwache ahangaike na fupa lililowashinda mafisi....ila asisahau mama ni mama....na radhi ya mama ni muhimu
 
Aibu tupu matusi wanayoyatoa mule jamani looohh!!

Kama hatuwazaa sie!

Yaani sasa hivi IG ni uwanja wa matusi tu!!!

Duller ni gay yule,sio bure! maana ndo wana matusi Yale!
Hata mie nahisi duller ni mchele mchele...maana si kwa mitusi ile mtoto wa kiume anaitolea wapi
 
Back
Top Bottom