Diamond azushiwa kifo..

Diamond azushiwa kifo..

Madale kwa kupenda kiki inawezekana huyo aliendika hii kitu anakaa bure Madale.
 
Hii Habari Ya Uzushi Ni Kweli Imesambaa Sana.Mimi Nina Ndugu Zangu Zambia Jana Wamenipigia Simu Kuhusu Kifo Feki Cha Diamond,Nikawaambia Hajafa Na Leo Halikua Mahakamani Na Kesi zake Za Kutohudumia Mtoto
 
Mazishi yako Zambia?
 
Acha uongo
Unamuonea wivu

Ukiendelea na tabia hii siku moja utajinyonga
Msimchukulie serious, ni utani wa JF huo dhidi ya King!! Mmesahau aliposema yeye ni mkubwa kuliko tuzo na hana time na tuzo?! Kumbe alikuwa anazitamani sana lakini alikuwa hajapata ndo akaanza kuziponda!!

Na alipopata tuzo ya EMA tu, akaandika kabisa hadi kwenye Instagram profile yake kwamba ni EMA Best African na hadi kesho hajafuta wakati keshapatikana mwingine!
 
Nakubali juhudi zko, simba, kutokana na ustaa wako watu wanashiba kwenye media songa mbele,kza buti mungu yupo na wew usiohofu wtu wnasma nin?zidisha juhudi
 
Huyu anaitwa nasibu ..aliyekufa no diamond Wa Ghana huwa anacopy nyimbo za dai wetu...acheni uzuzu kama mimi
 
Back
Top Bottom