Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,huyo atakuwa hater tu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali Kiba ashaimba na R Kelly sasa unabisha nini?
Babu una hasira inaoneshaJina lenyewe tu eti Ali kiba, kiba nini..? Kibajaj, kibanio, kibakuli, kibambio or
Hii Habari Ya Uzushi Ni Kweli Imesambaa Sana.Mimi Nina Ndugu Zangu Zambia Jana Wamenipigia Simu Kuhusu Kifo Feki Cha Diamond,Nikawaambia Hajafa Na Leo Halikua Mahakamani Na Kesi zake Za Kutohudumia Mtoto
Unamuonea wivuHata Ali Kiba Wanamfahamu, sema huyu Diamond anapenda kiki kupitia mademu tu
Acha uongo
Msimchukulie serious, ni utani wa JF huo dhidi ya King!! Mmesahau aliposema yeye ni mkubwa kuliko tuzo na hana time na tuzo?! Kumbe alikuwa anazitamani sana lakini alikuwa hajapata ndo akaanza kuziponda!!Unamuonea wivu
Ukiendelea na tabia hii siku moja utajinyonga
Unamuonea wivu
Ukiendelea na tabia hii siku moja utajinyonga
Huenda tunaishi dunia mbili ile ya kule kafa hii ya kwetu yupo
kiba ni KibamiyaJina lenyewe tu eti Ali kiba, kiba nini..? Kibajaj, kibanio, kibakuli, kibambio or
Kibamia mwisho mombasa ..eti uyo kibamia si anawatoto kila umoja na mamayakeHata Ali Kiba Wanamfahamu, sema huyu Diamond anapenda kiki kupitia mademu tu
na rkelly keshachokaaa kama kibamiaAli Kiba ashaimba na R Kelly sasa unabisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliyenimaliza ni huyo aliyemtagi Diamond, alafu anamuuliza "Is true you are dead?"