Diamond azushiwa kifo..

Diamond azushiwa kifo..

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Posts
13,495
Reaction score
29,872
Hizi habari zingeanzia Tanzania tungesema jamaa kama kawaida yake anatengeneza kiki, kumbe ukweli ni kwamba, asilimia kubwa ya yale yanayosemwa kwamba jamaa anatengeneza kiki; huwa yanatengenezwa na watu wenyewe!!

NewsDaily-TV wameripoti eti Diamond ameaga dunia kwa ajali ya gari! Huko Twitter, kuna wengine (Sio Watanzania) wanaapiza kabisa:
Dead01.png


Jamaa kuonesha hasemi uongo, akaamua kuambatanisha na Google Search Results:

Dead02.png


Ingawaje kuna wachangiaji wanakanusha, kuna wengine ni kama wanaamini na hawaamini...

Dead03.png

Dead04.png

Dead05.png

Dead06.png


Hizo ni baadhi tu ya Tweets!! Na wengi hapo ni Waghana ambao kule kwao bado ni asubuhi!!! Kwahiyo wameamka na uchuro!!!
 
Akapige show huko itakaa poa sana ila jamaa jana kaongea poa sana mahakamani kuhusu kesi yke na Mobeto afu huyu binti hayuko serious kudai pesa yote ile angalau laki tano inatosha na ye atoe laki tano ifike M mtoto aanze shule
 
Labda wamechanganya na yule follower aliyefariki juzi ile (team Wasafi wawili walifariki baada ya kupata ajali).

Nadhani mmoja kati yao alikuwa na jina linalofanana fanana
 
Back
Top Bottom