Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Maisha ya kupenda kufananisha fananisha watu au vitu ni maisha ya ovyo sana kama hujui.Kiba ashaimba na R Kelly unataka kumfananisha na Diamond?
Unatakiwa kuelewa kila mtu ana strength na weakness zake