Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

Fid Q ni miongoni mwa wasanii wakubwa Tanzania wasioitambua thamani yao.

Wangelitumia hili tamasha la Wasafi kutengeneza pesa ndefu sana.

Hiki ki Diamond kimewazidi akili.
 
Watanzania bwana wakipigwa dongo clouds sawa ila ikitokea mtu akapiga dongo kwingine ni choko....
Hawa wote wana furahisha tu sidhani hata kama wana bifu wala fid ana bifu na wasafi ile tu nikufurahisha jamaa mwisho wa siku ni strategy ya kutengneza atention na ela
 
Naona mnawalisha maneno tu..
 
Fid Q ni miongoni mwa wasanii wakubwa Tanzania wasioitambua thamani yao.

Wangelitumia hili tamasha la Wasafi kutengeneza pesa ndefu sana.

Hiki ki Diamond kimewazidi akili.
Kwan wasafi wanalipa milion ngapi kwa show?
 
Mimi Fid Q ni mshabiki wake lakini kuwatukana Wasafi ni mafala ilikuwa jambo la kijinga sana tena sana na isitoshe wasafi karibu wote huwa wanamkubali sana Fid q sana tena sana,,,,,,
Fid q amefanya jambo la kijinga sana tena sana na mimi naamini Clouds hawakumtuma bali ni shobo zake tuuu yeye mwenyewe kutukana watu...
Fid q alitakiwa kutumia akili ili apige hela kote kote...mbona wasanii wenzie hawajatukana mtu?
Fid q amedhihirisha ni mjinga....
 
Nunua sabuni utoe upeleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dongo gumu sana hili
Ila Dongo linaumiza sana maana lipo nje ya uwezo wako maana fid q sura ngumu nzito kitambo kutokana na ngozi yake kuwa na mabonde mabonde magumu magumu.
 
Kwan wasafi wanalipa milion ngapi kwa show?
Sijui,ila hapa maana yangu ni kwamba wasanii wao wangeitumia hii matamasha kupiga pesa ndefu maana yapo mengi na wanashindana.

Kama kuna ushindani wa matamasha basi hiyo ni fursa kwa wasanii,ila bahati mbaya hao wasanii nafikiri hawajielewi kabisa. Unaanzaje kulikandia tamasha fulani badala ya kulitumia kama fursa?
 
Nimeona fid kaomba msamaha...baada ya kutupiwa maneno sana kasalimu amri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…