Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

Kiufupi fid ni kubwa jinga yule jamaa anatabia za kike kabisa, muoga kupita maelezo so suala la kutokuwa na gari nk na kwenye game tupo mda mrefu inaweza kuwa kweli sababu wanaume wenye michongo ya maana fid wanamjua ana misimamo ya kiume kwenye kuimba mashairi ila kwenye vitendo Hanna mtu pale anatabia za kichoko choko tu.
Fid Q ni miongoni mwa wasanii wakubwa Tanzania wasioitambua thamani yao.

Wangelitumia hili tamasha la Wasafi kutengeneza pesa ndefu sana.

Hiki ki Diamond kimewazidi akili.
 
Watanzania bwana wakipigwa dongo clouds sawa ila ikitokea mtu akapiga dongo kwingine ni choko....
Hawa wote wana furahisha tu sidhani hata kama wana bifu wala fid ana bifu na wasafi ile tu nikufurahisha jamaa mwisho wa siku ni strategy ya kutengneza atention na ela
 
Fid Q ni miongoni mwa wasanii wakubwa Tanzania wasioitambua thamani yao.

Wangelitumia hili tamasha la Wasafi kutengeneza pesa ndefu sana.

Hiki ki Diamond kimewazidi akili.
Kwan wasafi wanalipa milion ngapi kwa show?
 
Mimi Fid Q ni mshabiki wake lakini kuwatukana Wasafi ni mafala ilikuwa jambo la kijinga sana tena sana na isitoshe wasafi karibu wote huwa wanamkubali sana Fid q sana tena sana,,,,,,
Fid q amefanya jambo la kijinga sana tena sana na mimi naamini Clouds hawakumtuma bali ni shobo zake tuuu yeye mwenyewe kutukana watu...
Fid q alitakiwa kutumia akili ili apige hela kote kote...mbona wasanii wenzie hawajatukana mtu?
Fid q amedhihirisha ni mjinga....
 
Kwan wasafi wanalipa milion ngapi kwa show?
Sijui,ila hapa maana yangu ni kwamba wasanii wao wangeitumia hii matamasha kupiga pesa ndefu maana yapo mengi na wanashindana.

Kama kuna ushindani wa matamasha basi hiyo ni fursa kwa wasanii,ila bahati mbaya hao wasanii nafikiri hawajielewi kabisa. Unaanzaje kulikandia tamasha fulani badala ya kulitumia kama fursa?
 
Nimeona fid kaomba msamaha...baada ya kutupiwa maneno sana kasalimu amri
 
Back
Top Bottom