Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

Alisha wahi kumwambia Nikki mbishi hana nidhani.

"Leta kiburi uchinjwe watu wale kichuri...//

Fidq akiwitness ninavyopata sifuri...//"

Huo Ni mstari wa Nikki mbishi kwenye Ngoma Moja ya kanda maalum [emoji867][emoji867]

Nikki mbishi alimmaindi sana na alisikika kwenye interview Moja akisema.

"Yeye nan mpaka aseme mimi Sina nidham??? Hawezi kuniambia maneno kama hayo hata baba angu hajawahi kuniambia"[emoji116]

Nikki mbishi baba Malcolm

 
Mtuwekee na hilo tangazo la fiesta tulisikie tafadhari.
 
Wakati wanashirikiana na Dai kumtukana Kiba watu walifurahi, leo mambo yamegeuka.... Ngoja nishike jembe nikalime.
 
Iyo video iko wapi nme itafta bila mafanikio
 
Fid Q siku hizi namuona kama kubwa jinga flani hivi. Mashairi yake hayaendani na maisha yake.
 
FID KUNA SIKU NILIKUTANANAE MSASANI ANAENDESHA CARINA IMECHOKA HIYO NKAWA NA WAZA HV HUYU MSANII KWELI
 
Fd alisemaje?
 
Fid q for life,.. wavaa vikuku jasho la matako limewatoka wamepoteana huku.
 
fid kazingua sana,hapa ilikuwa ni vita ya clouds vs wasafi empires ambazo fid q sio sehem ya upande wwte,alishindwa nn kubaki neutral???kaharibu sana tena sana,wasafi walikuwa wanamkubali na kumsupport sana,alichokifanya ni sahihi kama ana hisa pale clouds,vinginevyo ni umama,ushoga,ushangazi,udada,ubikra,uajuza na ufala sana kushadadia wanaume kwny vita isiyomhusu, labda kama ni mama luge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…