NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Alisha wahi kumwambia Nikki mbishi hana nidhani.
"Leta kiburi uchinjwe watu wale kichuri...//
Fidq akiwitness ninavyopata sifuri...//"
Huo Ni mstari wa Nikki mbishi kwenye Ngoma Moja ya kanda maalum [emoji867][emoji867]
Nikki mbishi alimmaindi sana na alisikika kwenye interview Moja akisema.
"Yeye nan mpaka aseme mimi Sina nidham??? Hawezi kuniambia maneno kama hayo hata baba angu hajawahi kuniambia"[emoji116]
Nikki mbishi baba Malcolm

Mimi Fid Q ni mshabiki wake lakini kuwatukana Wasafi ni mafala ilikuwa jambo la kijinga sana tena sana na isitoshe wasafi karibu wote huwa wanamkubali sana Fid q sana tena sana,,,,,,
Fid q amefanya jambo la kijinga sana tena sana na mimi naamini Clouds hawakumtuma bali ni shobo zake tuuu yeye mwenyewe kutukana watu...
Fid q alitakiwa kutumia akili ili apige hela kote kote...mbona wasanii wenzie hawajatukana mtu?
Fid q amedhihirisha ni mjinga....