MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Gwiji la mziki Tanzania na Afrika kwa ujumla amedevelop tabia ambayo sio nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na hasa kwa wasanii wanaochipukia.
Katika kipindi cha mwezi mmoja na kitu msanii huyu amechukua tuzo kadhaa lkn cha ajabu hamna hata siku moja ameenda ikulu kumuonesha rais na kupata nae chakula cha jioni tofauti na hapo mwanzo, hii inawakatisha sana moyo vijana wanaoshinda studio ili waje kuwa kama wewe.
Jitahidi kila unapopata tuzo moja au mbili uwe unadrop mjengoni unapiga selfie na mkuu ili kumotivate kitaa.