Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
Baba ubaya vibaya hvyo ujue? Mi roho inaniuma tu jinsi ulivyommanua mtoto wa watu mpaka sasa ivi mnato hana
:smile-big: warumi you made my day!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba ubaya vibaya hvyo ujue? Mi roho inaniuma tu jinsi ulivyommanua mtoto wa watu mpaka sasa ivi mnato hana
wema anasema kishampata le nigga...sijui nani huyo warumi wamjua???
kama wanjiru nae hakui kila siku ana 26
ha ha ha kampata le niggaKampata kwani kuna muda wowote huwa anapumzika japo mwezi?? Kilichomtoa kwa dai ni mulume.Asituletee uongo wake hapa
pwanya road wanasherehekeaNigga kiki.com
Endless fame, movies, nasikia ana fungua boutique, na biashara ya nguo eti.
Pia lipstick on its way.
Simfagilii ila kazi sio lazima uamke saa kumi na moja uende ofisini.
Mmh binamu lulu anachamba huyo hatar, ngoja akusikie
So mtu ukitaka bwana ndio unatangaza uwiii na juzi umetoka kulilia mtoto....vituko vya wasanii bongo haviishi.
Akubali asikubali D anamkimbiza.
Si angasubiri ma paparazi wampige picha uwiiii nimechekaje leo wema kweli abadilike
Akiwa nae kweli lazima baba huruma au kaka huruma kaibgia nae contract kufuta aliyoandika...
Kampata kwani kuna muda wowote huwa anapumzika japo mwezi?? Kilichomtoa kwa dai ni mulume.Asituletee uongo wake hapa
Mmh, ila ndomo ndo kamchakaza kwa kweli, maana walikuwa wanajifungia ndani kutwa nzima hawatoki leo unaambiwa hakurudii labda afe, apo lazima ujinyonge Heaven on Earth pole sana naona shoga yako hatakiwi tena, chezeya mtoto zari, ngozi laiiniiii, wala haitaji kutumia KY kama mama ubaya
Kuna ki2 ngoja nipate uhakika saa 2 ucku kuna mfadhili wake inasemekana ka rip ngoja mpka saa 2
Afe kama kufa kwan katakwa naye mswahil huyu kaka ka.mwanamke au ndo kazaliwa salun tena ya uswailin mwanaume ovyoooo
Kama hizi habari ni za kweli basi wamefanya makosa makubwa sana kwa kiapo hiki kikali walichokitoa hasa diamond. Sio vizuri jamani kuapia hivi? Eti bora nife!
Yetu macho bwana, sijui siku wakirudiana wataweka wapi nyuso zao bila kusahau maneno yanaumba na kuumbua!