Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

wema anasema kishampata le nigga...sijui nani huyo warumi wamjua???

Kampata kwani kuna muda wowote huwa anapumzika japo mwezi?? Kilichomtoa kwa dai ni mulume.Asituletee uongo wake hapa
 
Ushuzi mtupu!!Kwani nani amemuomba arudiane nae? Mbali ya kuwa msanii ye nae ni mvulana tu ka wavulana wengine so asijione special saaaaaanaa!!!Ana nini cha mno labda? Mfyuuuuu zake!! ( kwa melody sound ya Dinazarde) lol
 
Last edited by a moderator:
Endless fame, movies, nasikia ana fungua boutique, na biashara ya nguo eti.
Pia lipstick on its way.
Simfagilii ila kazi sio lazima uamke saa kumi na moja uende ofisini.

Kwanza kazi za kuamka saa 11 ni utumwa... Ila kiukweli matumizi ya Wema na kipato chake haviendani hata robo... Hasa watu wa aina hiyo ndiyo wakuwatilia mashaka
 
So mtu ukitaka bwana ndio unatangaza uwiii na juzi umetoka kulilia mtoto....vituko vya wasanii bongo haviishi.

Akubali asikubali D anamkimbiza.

Si angasubiri ma paparazi wampige picha uwiiii nimechekaje leo wema kweli abadilike

Akiwa nae kweli lazima baba huruma au kaka huruma kaibgia nae contract kufuta aliyoandika...
 
So mtu ukitaka bwana ndio unatangaza uwiii na juzi umetoka kulilia mtoto....vituko vya wasanii bongo haviishi.

Akubali asikubali D anamkimbiza.

Si angasubiri ma paparazi wampige picha uwiiii nimechekaje leo wema kweli abadilike

Akiwa nae kweli lazima baba huruma au kaka huruma kaibgia nae contract kufuta aliyoandika...

Koh!!...Koh!!!...
 
Mmh, ila ndomo ndo kamchakaza kwa kweli, maana walikuwa wanajifungia ndani kutwa nzima hawatoki leo unaambiwa hakurudii labda afe, apo lazima ujinyonge Heaven on Earth pole sana naona shoga yako hatakiwi tena, chezeya mtoto zari, ngozi laiiniiii, wala haitaji kutumia KY kama mama ubaya

hahaaaaaaaaa huyo Diamond aende huko... ngoja aendelee kulea mimba ya Katunzi

wema mwenyewe hana mpango nae
 
Afe kama kufa kwan katakwa naye mswahil huyu kaka ka.mwanamke au ndo kazaliwa salun tena ya uswailin mwanaume ovyoooo
 
Kama hizi habari ni za kweli basi wamefanya makosa makubwa sana kwa kiapo hiki kikali walichokitoa hasa diamond. Sio vizuri jamani kuapia hivi? Eti bora nife!
Yetu macho bwana, sijui siku wakirudiana wataweka wapi nyuso zao bila kusahau maneno yanaumba na kuumbua!

Inaonekana X zako wanapiga sana hapo😳
 
Back
Top Bottom