Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!

Al habeeeeb umetishaje? Hahahahahahahahaaa
 
Pia msisahau kuwa Ruge ana commercial rights zote za diamond....endeleeni na kupiga soga tuuu
 
Pia msisahau kuwa Ruge ana commercial rights zote za diamond....endeleeni na kupiga soga tuuu

Kwa mara ya kwanza ndio nasikia hii makitu kutoka kwako mkuu!!
Komesho raits kama zipi labda kiongozi hebu fafanua kidogo hapa!!
 
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!

We ni balaa lao kaka. Kwa haya maneno umetisha.
 
Kwa mara ya kwanza ndio nasikia hii makitu kutoka kwako mkuu!!
Komesho raits kama zipi labda kiongozi hebu fafanua kidogo hapa!!

Hujui maana ya commercy rights?

Google is ur friend
 
Hujui maana ya commercy rights?

Google is ur friend

Uvivu huo kaka! sio kila kitu guugo guuugo, kitu gani hujanielewa hapo? Nimekuuliza komesho raits kama zipi nifafanulie, unataka niende guugo, kwa hiyo guugo nitakuta Ruge ana raits zipi kwenye biashara za Diamond!!?
Au nitakuta wameweka biashara za Dogo ambazo Ruge ana raits nazo!! Kwa mtindo huu iko siku mtaja sema " Ukikosa nauli wee nenda Guugo"!!!
 
Alisahau kuwa Diamond alifanya Fiesta ya Mwanza. Isitoshe, Prime Time wamefanikiwa kuifanya Fiesta kusimama yenyewe bila kutegemea mwanamuziki yupi yuko juu. Mashabiki wameiamini, wanaifuata tu Fiesta iliko, ndio maana wanajaza watu kila wanakokwenda.
Ova
 
Bado hujaelewa nilichomaanisha mkuu!!
 
Duh eti mawingu wanamshindwa Diamond??inawezekana vipi kinyago walichokichonga wenyewe leo kiwatishe?
Spidi ya jeneza wanachagua waliolibeba sio maiti mkuu....!

We jamaa ni shida
 
We nae kujikuta mjuaji kama mama dimond
 
Yuko vizuri sana huyu Dogo!!
 
hii ni disrespect kwa Diamond. unataka kusema kipaji wamempa wao!? huu ni upuuzi na ukosefu wa nidhamu kwa mtu anayetumia nguvu na akili yake kufanya kazi nzuri. hao unaowasema ndio wanamtungia nyimbo au kuproduce nyimbo zake?

Wamarekani wanausemi wao unasema" we made u" career inatengenezwa kaka haiji tu hivihivi...
 
Hivi mtu unakaa unampromoti mtu bila hata faida du bongo kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…