theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 585
Sasa unataka tuhame tunachojadili tuelimishane alama hahahaha...........?Uzuri SMS imefika naamin autafanyia kazi labda uwe mbishi tuu.Kwa uelewa wangu mimi hakuna swali kwanye mada yangu kaka.
Napata mashaka na uelewa wako kama unazifahamu vizuri hizi alama { ! ? : / @}
Hizi ni baadhi tu, badohujachelewa maana elimu wanasema hainaga mwisho rudi klass mzee!!