Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Alisahau kuwa Diamond alifanya Fiesta ya Mwanza. Isitoshe, Prime Time wamefanikiwa kuifanya Fiesta kusimama yenyewe bila kutegemea mwanamuziki yupi yuko juu. Mashabiki wameiamini, wanaifuata tu Fiesta iliko, ndio maana wanajaza watu kila wanakokwenda.
Ova

hivi unadhani wakiweka msanii mmoka tu ni wangapi wataenda kumuona na atafanya nyimbo ngapi kwa hiyo playback yao, si atachemsha tu! wingi wa wasanii ndio sababu!
 
''Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa''.

Hebu nirudie swali lako Diamond ''Clouds wamshindwa Fiesta''
Hapo juu umejijibu chini swali....................?Kweli wewe kiraza sana sasa hata clouds wangempa show atashiriki vp?
 
Rudia tena kusoma utaelewa tu kama wenzako.
Usiwe mvivu mvivu kijana!!
 
Rudia tena kusoma utaelewa tu kama wenzako.
Usiwe mvivu mvivu kijana!!
Mimi sina wasiwasi ni kuwa ukiuliza swali usiwe unaandika pumba nyingi kujaza pamphlet eti kizibitisho cha jibu sahihi.Andika short and clear.
Umejitahidi japo pumba zilikuwa nyingi.
 
Mimi sina wasiwasi ni kuwa ukiuliza swali usiwe unaandika pumba nyingi kujaza pamphlet eti kizibitisho cha jibu sahihi.Andika short and clear.
Umejitahidi japo pumba zilikuwa nyingi.

Kwa uelewa wangu mimi hakuna swali kwanye mada yangu kaka.

Napata mashaka na uelewa wako kama unazifahamu vizuri hizi alama { ! ? : / @}
Hizi ni baadhi tu, badohujachelewa maana elimu wanasema hainaga mwisho rudi klass mzee!!
 
- Kaka sasa hivi bendi ya mujini ni Yamoto Band naomba kukuuliza unajua ni ya nani?

Le Mutuz

Niambie kuwa ni Mawingu!!
Kila mtu mjini anafahamu wendeshaji au wamiliki wa band ya Yamoto.
Mwenzetu kwa ulivyotangulia mbele utataka kutufundisha na hili pia!! Teh teh teh!!
 
- No way lini uliwahi kusikia Clouds wameajiri Super Star kwenye system yao? Huwa wanaajiri and then ndio wanatengeneza wao wenyewe vipaji, with Clouds it does not matter nani yupo Jukwaani nani hayupo wakitaka anything on entertainment they just do it na wao wana uzoefu mkubwa sana so,

- Clouds waliona umuhimu wa Ddiamond kuwa Mwanza siku ya ufunguzi wa Fiesta he was there uliza alivunja safari ngapi kuja pale, kiwango cha Diamond hakina mfano Tanzania lakini hajawa bigger than Clouds kama unavyotaka kusema na wala sio ishu between them kwa sababu hata wewe hujui nani ni meneja wa Diamond,

- Wewe unajaribu kuchanganya ishus baada ya kukubana, kiwango cha Diamond hakina anything na kutopiga kwake kwenye Fiesta, Clouds can always do wonders bila big Stars na ndio utamaduni wao unless huwaelewi vizuri, kaka nakuelewa sana nia na madhumuni yako ya hii thread kubali umekosea ukachanganya maneno, nasema kiwango cha Diamond hakina anything to do na kutokuwepo kwake kwenye show nyingi za Fiesta,

- Serengeti wanauza jina na vinywajikwenye hizi show tena kwa records, bila diamond which is lengo lao nani apige nani asipige mwisho wa Fiesta bado ni uamuzi wa Serengeti kwa kuapata usahuri wa Clouds utaona kama diamond hakuwepo siku ya mwisho hapa Dar why ndio uamuzi sahihi wa biashara ya entertainment kaka,

Le Mutuz

Sio kweli,clouds hawafanyi kazi na super star kwa sababu ya maslahi Hilo liko wazi mwngine ulioeleza hapo juu naweza kukubaliana nawe ila sio hili...wale ni capitalist haswaa...faida kwanza mengine yanafuata..
 
Niambie kuwa ni Mawingu!!
Kila mtu mjini anafahamu wendeshaji au wamiliki wa band ya Yamoto.
Mwenzetu kwa ulivyotangulia mbele utataka kutufundisha na hili pia!! Teh teh teh!!

- Kaka niliwatumia Yamoto Band kwenye Miss Ilala pale Kempisk majuzi tu niulize malipo nilimlipa nani, pole sana mkuu

Le Mutuz
 
Ni lazima utakuwa ulimlipa Fella tu!!

- Wala nisingekuwa na sababu ya kukuuliza kama ni hivyo muwe mnauliza mambo ya mjini hapa hayapo kama yanavyo onekana kaka yamejificha ficha sana Fella ana uwezo kupigisha nyimbo za Yamoto Band kila baada ya dakika tano Radio za Clouds?

Le Mutuz
 
Sio kweli,clouds hawafanyi kazi na super star kwa sababu ya maslahi Hilo liko wazi mwngine ulioeleza hapo juu naweza kukubaliana nawe ila sio hili...wale ni capitalist haswaa...faida kwanza mengine yanafuata..

- Sio kweli Clouds siku zote toka imeanzishwa fuatilia historia yao lini waliwahi kumuajiri Star? Huwa wanaamini in creating Stars.

Le Mutuz
 
- Wala nisingekuwa na sababu ya kukuuliza kama ni hivyo muwe mnauliza mambo ya mjini hapa hayapo kama yanavyo onekana kaka yamejificha ficha sana Fella ana uwezo kupigisha nyimbo za Yamoto Band kila baada ya dakika tano Radio za Clouds?

Le Mutuz

Ok tueleze Yamoto ni mali ya nani? Sisi wengine mambo ya burudani siyo fani yetu.
 
- Wala nisingekuwa na sababu ya kukuuliza kama ni hivyo muwe mnauliza mambo ya mjini hapa hayapo kama yanavyo onekana kaka yamejificha ficha sana Fella ana uwezo kupigisha nyimbo za Yamoto Band kila baada ya dakika tano Radio za Clouds?

Le Mutuz

Ni rahisi sana!
Kwa wafanyabiashara kama Mawingu kucheza track yako kila baada ya dk tano ni wewe tu umeongea nao vp! Sasa kwa mtu mzoefu kama Fella hili ni jambo dogo.
Kwa maneno yako utaja tuambia hata Rose Muhando anamilikiwa na Ruge!!
'Yamejifichaficha sana mambo ya mjini' hah hah umenichekesha sana kwa kauli yako hii!!
 
Duh nimecheki marudio ya kipindi cha Mkasi cha EATV. Mgeni alikua Gadner. Salama kamuuliza swali la kizushi kuhusiana na yeye kutaka kurudi wafu radio na hajakanusha zaidi ya kusema kashapewa ofa mbili sehemu tofauti na mawingu ikiwamo.

Kwa maneno hayo kuna kila dalili ya Gadner kurudi Clouds baada ya ndoa yake na Jide kuvunjika kwani wangelikua wako wote sidhani kama angerudi pale mawingu.

Nadhani atakua kaamua kurudi kama njia ya kujipoza na machungu ya kutoswa na Jide.
 
Back
Top Bottom