- No way lini uliwahi kusikia Clouds wameajiri Super Star kwenye system yao? Huwa wanaajiri and then ndio wanatengeneza wao wenyewe vipaji, with Clouds it does not matter nani yupo Jukwaani nani hayupo wakitaka anything on entertainment they just do it na wao wana uzoefu mkubwa sana so,
- Clouds waliona umuhimu wa Ddiamond kuwa Mwanza siku ya ufunguzi wa Fiesta he was there uliza alivunja safari ngapi kuja pale, kiwango cha Diamond hakina mfano Tanzania lakini hajawa bigger than Clouds kama unavyotaka kusema na wala sio ishu between them kwa sababu hata wewe hujui nani ni meneja wa Diamond,
- Wewe unajaribu kuchanganya ishus baada ya kukubana, kiwango cha Diamond hakina anything na kutopiga kwake kwenye Fiesta, Clouds can always do wonders bila big Stars na ndio utamaduni wao unless huwaelewi vizuri, kaka nakuelewa sana nia na madhumuni yako ya hii thread kubali umekosea ukachanganya maneno, nasema kiwango cha Diamond hakina anything to do na kutokuwepo kwake kwenye show nyingi za Fiesta,
- Serengeti wanauza jina na vinywajikwenye hizi show tena kwa records, bila diamond which is lengo lao nani apige nani asipige mwisho wa Fiesta bado ni uamuzi wa Serengeti kwa kuapata usahuri wa Clouds utaona kama diamond hakuwepo siku ya mwisho hapa Dar why ndio uamuzi sahihi wa biashara ya entertainment kaka,
Le Mutuz