Diamond "Clouds wamshindwa Fiesta"

Kwa uelewa wangu mimi hakuna swali kwanye mada yangu kaka.

Napata mashaka na uelewa wako kama unazifahamu vizuri hizi alama { ! ? : / @}
Hizi ni baadhi tu, badohujachelewa maana elimu wanasema hainaga mwisho rudi klass mzee!!
Sasa unataka tuhame tunachojadili tuelimishane alama hahahaha...........?Uzuri SMS imefika naamin autafanyia kazi labda uwe mbishi tuu.
 
- Well asiyejua maana huwa haambiwi pole sana kaka mjini hapa mambo hayako kama unavyofikiria uliza kwanza next time!!

Le Mutuz
 
- Well asiyejua maana huwa haambiwi pole sana kaka mjini hapa mambo hayako kama unavyofikiria uliza kwanza next time!!

Le Mutuz

shikamoo kaka Willium
vp tubangi huwa unajaribu jaribu kutuvuta maana ndo ujana huo mzee au wewe ni mababez tu? Nilikuwa na kapuli kamoja hapa tungekatendea haki km hutojari
 
shikamoo kaka Willium
vp tubangi huwa unajaribu jaribu kutuvuta maana ndo ujana huo mzee au wewe ni mababez tu? Nilikuwa na kapuli kamoja hapa tungekatendea haki km hutojari

- Duh this is wasap maana mkuu sijawahi kunywa pombe, wala kuvuta sigara maishani mwangu na namuomba Mungu anipishilie lakini thanks i;la wapo humu wengi tu wape hiyo kitu U know, not for me

ila kwa ushauri wangu bora ungetumia tu maana hii itakufanya uwe kijana zaidi na mjanja hapa mjini
 
Mawingu kutotumia wasanii mastaa hii ni habari mpya! Tumeona mara nyingi mastaa wetu kibongo wakitumika na mawingu.

Ishu inabaki vilevile kuwa kutokana na kukwepa gharama kibiashara Clouds wameshindwa kuwatumia wasanii wa nyumbani ambao wamekuwa wakitoza pesa ndefu kwa show!

Kila mmoja anafahamu gharama za Diamond kwa show moja, sasa huwezi kumtumia kuzunguka mikoa yote Tz wakati wapo kina Belle 9 na Ommy dimpoz!!
Hailipi, na ndio maana tunasema wamemshindwa!!
 
- Tunasema wewe na nani mkuu? Halafu kweli unaamini Clouds wanaamuliwa cha kufanya na mitandao maana naona kama una mission flani hivi hahah

Le Mutuz
 
- Tunasema wewe na nani mkuu? Halafu kweli unaamini Clouds wanaamuliwa cha kufanya na mitandao maana naona kama una mission flani hivi hahah

Le Mutuz

Hakuna mishen yoyote ile mkuu, na hakuna lengo la kuwaamulia Mawingu cha kufanya kwa kupitia mitandao!

Unaonekana u mtetezi sana wa hawa jamaa, ni haki yako lakini ukweli hauwezi kupinda hata watetezi wangekuwa elfu!!

Vipi Upendo Nkone hamilikiwi na Ruge??! Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…