Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Hakuna mfanyakazi anae lipa kodi kihalali nchi hii. Hivyo ukipitishwa kwenye mbano na TRA unatakiwa kuacha kulia lia na kupambana na hali halisi.

Watu wanao lipa kodi kihalali ni Wafanyakazi tu maana wao hawana kwa kukwepea.

Lipa kodi kwa maendeleo ya Nchi.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali

Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao I

Mh Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa

Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
Oa maisha mengine laana za ...uliichezeaa niko pale kwa mangii na jez ya brantford...utajua ujuii....
 
Oa maisha mengine laana za ...uliichezeaa niko pale kwa mangii na jez ya brantford...utajua ujuii....
Ataweweseka sana na bado ajakiona cha mtema kuni, Kwanza mama yake mlaaniwa alikua malaya mmoja pale tandale kauza sana bwambwa na kwa kudhihirisha hili leo anapigwa ukuni na dalali mmoja hivi jina kapuni asije vimba, Hilo toto na lenyewe limeshapelekewa ukuni sana kwenye majumba chakavu huko tandale chupi mkononi leo hii nitashangaa sana akipinga haya pumbavu sana huyo na bado atawajibishwa ipasasvyo ibilisi huyo!
 
Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
Hamaanishi wapinzani wa kisiasa bali wapinzani wa kazi zake za sanaa na vyombo vya habari mkuu.
 
Bora upate mali na sio akil boss au ndo nyie wa education is better than money
Kwahiyo, wewe unaona kuwa ukiwa chizi halafu una mali za kutosha ni jambo la kufurahisha?, Sasa jiulize unaenjoy vipi kutumia fedha ukiwa chizi?(Bilashaka, utatengwa na jamii).
Wanaposema "education is better than money" hawamaanishi elimu ya kukaa darasani (ambayo, ina umuhimu wake pia).
Wanamaanisha kuwa elimu ya kutafuta fedha ni nzuri zaidi kuliko ukawa na hiyo fedha.
- FIKIRIA, umepewa TSHS.20,000,000/= na huna elimu ya kuiendeleza hiyo fedha( siku mbili tu, inakwisha na unakuwa fukara wa kudumu).
Kumbe, ukiwa na elimu ya namna ya kutafuta fedha, utatafuta kibarua na kupata hela ya mtaji. Na mtaji wako utazidi kukua kadiri muda unavyokwenda( Kwasababu, una elimu ya namna ya kutafuta fedha na matumizi ya fedha).
 
TRA wamejaa wachagga na wachagga wote ni CHADEMA na husema wazi kabisa si mliichagua serikali wenyewe ngoja tuwaonyeshe
Wanafata sheria zilizotungwa na bunge , hate the game not players.
 
Hamaanishi wapinzani wa kisiasa bali wapinzani wa kazi zake za sanaa na vyombo vya habari mkuu.
Kwa mtazamo wangu, bado haileti mantiki. Mimi nadhani hilo ombi la TRA la kutaka kukutana naye, labda litamsaidia kupata elimu kuhusu kodi.
 
Kwa mtazamo wangu, bado haileti mantiki. Mimi nadhani hilo ombi la TRA la kutaka kukutana naye, labda litamsaidia kupata elimu kuhusu kodi.
Yeah hata mimi naimani na hilo. Unajua Kuna watu wengi hawana elimu ya Kodi, wengi wanaelewa VAT tu kumbe kuna kodi zaidi ya hiyo kwenye uwekezaji na Aina ya uwekezaji so wanapoona wanakatwa kiwango flani katika mapato yao wanadhani wanadhurumiwa.
 
Wanafata sheria zilizotungwa na bunge , hate the game not players.
Bunge halitungi sheria ila linaandika sheria kutokana na miswanda iliyotungwa na wataalam serikalini na kwenye kodi mshauri wa serikali ni TRA
 
Bunge halitungi sheria ila linaandika sheria kutokana na miswanda iliyotungwa na wataalam serikalini na kwenye kodi mshauri wa serikali ni TRA
Ndo umeandika nini sasa ? Sheria zote zinatoka bungeni .
Miswada ni kama proposal tu final ipo bungeni, ndo maana tunasema bunge linatunga sheria
 
Ndo umeandika nini sasa ? Sheria zote zinatoka bungeni .
Miswada ni kama proposal tu final ipo bungeni, ndo maana tunasema bunge linatunga sheria
Tumia akili zako mwenyewe wakati mwingine
 
Back
Top Bottom