Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Sasa hao maadui na TRA, wapi na wapi! Na hao wapinzani/maadui zake ni akina nani, kiasi cha kuitumia taasisi ya serikali kama TRA kumhujumu?
Huyu pimbi wa Tandale chupi mkononi huwa ni pointless kinyama yani!! Aah! Inasikitisha eti na yeye ni idol wa Tanzania 🇹🇿
 
Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali

Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao I

Mh Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa

Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
Ni KICHAA tu kama wewe ndio unaweza kuhisi kuwa TRA inatumiwa na WAPINZANI
 
Mchane kwa sauti ya juu zaidi🔊

Wewe jon mbatizaji unaskia sasa kamweleze huyo junk mwenzako penye moshi huwa kuna fuka moto, Na huyo pimbi ataisoma namba mwaka huu...
 
Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali

Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao I

Mh Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa

Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
Hichi kishoga kiache kutafuta sifa. Ana pesa gani ya kuonewa wivu na wawekezaji wa kweli? Kuwekeza kwenye kuharibu na kubomoa maadili yetu?
 
Resoining capacity ya diamond imejidhihiri kuwa ni ndogo mnoo kupitia hili swala lake la kukwepa kodi na anavyojaribu kulijengea hoja za kiswahili-swahili.(tatizo ni shule)

Anyway, huyu dogo mpeni ushauri mshahara anaolipa chawa kumsifia amege kidogo atoe ajira kwa wataalam wa maswala ya kodi wamfanyie hizo kazi.
Waataalam wake wengine ni kina shg aggrey

Ova
 
Badala ya kulipa Analia lia
Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali

Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao I

Mh Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa

Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
Aache kutafuta huruma ya wa TZ.. Lipa kodi
 
Back
Top Bottom