Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpm#mbv sanaaa huyu ndomana hawa sijawahi kuwakubaliAmekosa la kunena, hivi hana accountant wake wa kujitetea ulipaji huu
Yeye aimbe tu, mambo ya kodi wapo anaowalipa walizungumzie yeye atabwabwaja tu na kutafuta sympathy [emoji28] ambapo pia kaikosa kwa kuingiza siasa
🤣🤣🤣kweliAnaitabiria mema CDM!!!
Mijitu mieusi ni shida kila mahaliWeusi tuna shida mahali
Lawama zake kukimbilia siasa ni upumbavu mwingine huu
Ni kama Blacks waliopo [emoji631] na Europe pia yaani anasimamishwa kwa kosa alilofanya yeye halafu anamuambia police
Umenisimamisha kwa sababu mimi ni mweusi
Yaani kujitetea kwa mtu mweusi asiekuwa na elimu ni mtihani sana
Nimeshuhudia ujinga huu sana
Na kweli wao ndio wanaoharibu watoto hilo halina ubishiMpm#mbv sanaaa huyu ndomana hawa sijawahi kuwakubali
Kwanza wana hamasisha ushg na mamizik yaoo
Ova
Ni mpumbavu sana huyo ,anamaanisha wapinzani ndio waliomfanyia hivyo? anashindwa kusimamia ukweli anaanza kupakazia wapinzaniDiamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani?
Kwamba kwake wapinzani ndio wenye roho mbaya?
Kwa hiyo kauli yake, huyu mtu hata kama yanamkuta lakini ni kama bado ana mentality ya kujipendekeza kwa CCM, ameleta suala lake public ili kutafuta huruma tu kwa watanzania.
Kumbe jamaa bogus kabisaNi mpumbavu sana huyo ,anamaanisha wapinzani ndio waliomfanyia hivyo? anashindwa kusimamia ukweli anaanza kupakazia wapinzani
Bora upate mali na sio akil boss au ndo nyie wa education is better than moneyKweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
kwanza huyo mpumbavu ahujumiwe na wapinzan kwa lipi mpuuzi mmoja tu, kipindi cha uchaguzi si ndio huyuhuyu alikua anazunguka na lile joka lila watu kuhadaa wajinga wajinga mwisho wa siku likaandaa kura zake fake baada ya kipigo kikali cha TUNDU LISSU.Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
Lakini bora uwe nacho kimojawapo kuliko kukosa vyote. TeheteheKweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!!
Ili iweje?Basi sawa Mod unganisha hii kitu