Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Kwamba ukiwa ccm hutakiwi kuguswa na TRA hata kama hulipi kodi,he is a true definition of an idiot
 
Eti utafikiri,TRA ni wapinzani
Hapo kama anajigonga tena kwa
Ccm

Ova
 
Eti utafikiri,TRA ni wapinzani
Hapo kama anajigonga tena kwa
Ccm

Ova

Wana akili basi hao kwanza kutaka kuwachongea TRA kua ni wapinzani wakati hajafuata sheria za kodi yeye mwenyewe anatafuta kivuli cha kujificha lakini inashindikana, alipe kodi aache janja janja
 
IMG_0539.jpg
 
Chadema ipi inayopiginia wananchi? Chadema hii mwenyekiti wake anashinda Ikuru kulamba asali 🤣🤣 vijana wa Chadema acheni kuturagai.
 
Ndiyo maana kawambia pale TRA kuna wapinzani; na kwamba sababu za yeye kufutwa ni kwa sababu aliinga mkono CCM. Hivyo wapinzani wanamchukia, na mawakala wao kwenye serikali wanatumia nafasi zao kumkomoa. Tunajua TRA wamejaa wachagga ambao wengi ni CHADEMA NA WANAFANYA HIVYO KWA KIBURI KABISA KWA KAULI MBIU- MLIICHAGUA CCM NGOJA MUONE
Wewe ni mpumbavu sana, acha ukabila,

Kodi anadaiwa au hadaiwi?

Wachaga wanaingiaje hapo?

Hakuna wachaga CCM?
Kama hakuna hayo majimbo na kata zote uchagani kura mlipigiwa na nani?

Au ndio kura za mabegi meusi za wizi?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu sana, acha ukabila,

Kodi anadaiwa au hadaiwi?

Wachaga wanaingiaje hapo?

Hakuna wachaga CCM?
Kama hakuna hayo majimbo na kata zote uchagani kura mlipigiwa na nani?

Au ndio kura za mabegi meusi za wizi?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa mjinga sana- ukabila hauwachwi kwa mapovu kama unayotoa wakati kwa matendo unaonekana.
 
Ndiyo maana kawambia pale TRA kuna wapinzani; na kwamba sababu za yeye kufutwa ni kwa sababu aliinga mkono CCM. Hivyo wapinzani wanamchukia, na mawakala wao kwenye serikali wanatumia nafasi zao kumkomoa. Tunajua TRA wamejaa wachagga ambao wengi ni CHADEMA NA WANAFANYA HIVYO KWA KIBURI KABISA KWA KAULI MBIU- MLIICHAGUA CCM NGOJA MUONE
Hoja ya kusema TRA imejaa wachaga ni upuuzi na kujitoa ufahamu. Huna hata takwimu ya jambo unaloongea. Ebu orodhesha majina ya makamishna na maofisa wa TRA wa ngazi za juu, na katika hiyo orodha taja wachaga ni wangapi.

Kwa nini watu mnapenda zaidi ujinga kuliko werevu? Mazoea baadaye yanakujenga kwenye kitu unachojizoesha. Ukifanya mazoezi ya muda mrefu ya kuwa mjinga, baadaye utakuwa mjinga wa kudumu. Ujinga wa kudumu humfanya mtu awe mp.umbavu.

Jifunzeni kujenga hoja zenye data backing ya kutosha, siyo kuweka vioja.

Swali la msingi:

1) Diamond anadaiwa kodi au hadaiwi?

2) Kama anadaiwa, amewahi kupewa notice ya kulipa au hakupewa?

3) Kama alipewa notice, baada ya kupewa notice alifanya nini?

4) Najua kuna sheria ambayo ilitungwa na hili bunge uchwara kuwa TRA watakuwa na uwezo wa kufungia account ya mteja yeyote aliyeshindwa kulipa kodi. Je, kama Diamond ni mdaiwa sugu wa kodi, kwa kutumia sheria hizo hizo zilizopitishwa na hiyo kamati ya CCM inayoitwa Bunge, TRA wamefanya kosa gani la kisheria?

Tatizo, watu waovu huwa wanaweka sheria kwaajili ya kuwakomoa watu fulani bila kujua kuwa sheria hizo hizo siku moja zitatumika dhidi yao au wapendwa wao. Mbona akina Mbowe, Rugemarila, na wengine wengi waliwahi kufungiwa accounts zao? What special kwa diamond? Au anadhani kwa kutumika kwenye kampeni za CCM, maadam CCM ipo madarakani, hastahili kulipa kodi?
 
Hii kukuelewa ni kwa waliosoma Cuba tu mkuu:

CHADEMA na viongozi wake lazima waelewe ni utoto kulazimisha watu wasio wanasiasa ku support movement zao hadharani. Jukumu lao ni kushawishi wachague wanachopigania wakipata nafasi ya kuwapigia kura, lakini uwezi kulaumu raia wakipata shida mbona ukuunga mkono jitihada za chama kwenye agenda husika acha yakukute huo ni utoto

NInakazia:

Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?
Mtoto ni Diamond ambaye suala la TRA anaanza kuwataja wapinzani. Alitakiwa aeleze kama anadaiwa kodi au hadaiwi. Sasa mambo ya wapinzani wakati unadaiwa kodi na TRA, taasisi iliyo chini ya Serikali ya CCM, huko si kukosa akili!!
 
hapana ngoja niendelee huwa wanasema badala ya kuchagua CHADEMA nyinyi mnachagua CCM
Uliambiwa na nani? Una biashara gani wewe, na ipo wapi? Usilete utoto mbele ya watu wazima wenye akili timamu.
 
Ninawezaje kuficha upumbavu wangu wakati upumbavu ni kipawa anachotoa Mungu.
Usifanye kufuru. Mungu humpa mwanadamu werevu. Ujinga na upumbavu ni chaguo la mwanadamu.

Uwendawazimu, upunguani na ukichaa ni magonjwa kama yalivyo magonjwa mengine.
 
Dah

Hivi wapi nimesema Diamond asilipe kodi au hoja yangu ilikuwa TRA iheshimu taratibu za sheria kwenye kufanya kazi yao.

Pili unaongelea hadithi za misimamo ya CDM if the intention ni kunielimisha thanks.

But then aina maana mimi au anyone else ambao we are not subscribed kufanya siasa za ushawishi publicly tuna ulazima wa ku support hayo mambo hadharani na tusipofanya ivyo yakitukuta yale mnayo simamia mtu zodoe; huo ndio utoto.

Learn to separate maisha ya mwanasiasa na mwanachama wa chama cha siasa. Umeshawahi kuona msanii yeyote baada ya kampeni akipiga foleni kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi (tells you they don’t care who wins the election deep down).
Unaposema TRA wafuate taratibu, ungeeleza ni taratibu gani walizokiuka. Najua kufungia account ya bank ya mdaiwa sugu wa kodi bila taarifa, ipo kisheria, kwa kadiri ya sheria iliyopitishwa na hilo linaloitwa Bunge.
 
Back
Top Bottom