Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Oa maisha mengine laana za ...uliichezeaa niko pale kwa mangii na jez ya brantford...utajua ujuii....Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali
Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao I
Mh Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa
Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
Ataweweseka sana na bado ajakiona cha mtema kuni, Kwanza mama yake mlaaniwa alikua malaya mmoja pale tandale kauza sana bwambwa na kwa kudhihirisha hili leo anapigwa ukuni na dalali mmoja hivi jina kapuni asije vimba, Hilo toto na lenyewe limeshapelekewa ukuni sana kwenye majumba chakavu huko tandale chupi mkononi leo hii nitashangaa sana akipinga haya pumbavu sana huyo na bado atawajibishwa ipasasvyo ibilisi huyo!Oa maisha mengine laana za ...uliichezeaa niko pale kwa mangii na jez ya brantford...utajua ujuii....
Hamaanishi wapinzani wa kisiasa bali wapinzani wa kazi zake za sanaa na vyombo vya habari mkuu.Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
Kiwanda cha karanga😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣amewekeza nini mwekezaji huyu kutoka tandale?
Kwahiyo, wewe unaona kuwa ukiwa chizi halafu una mali za kutosha ni jambo la kufurahisha?, Sasa jiulize unaenjoy vipi kutumia fedha ukiwa chizi?(Bilashaka, utatengwa na jamii).Bora upate mali na sio akil boss au ndo nyie wa education is better than money
Huo uheshimiwa Diamond kaupata lini, bwashee umelewa ulanzi nn?!.
Chaijaba hana akili wakamue tu kama vipi ahamie Burundi.Mjinga Sana huyo, afungiwe akaunti lawama awapelekee upinzani.
Wanafata sheria zilizotungwa na bunge , hate the game not players.TRA wamejaa wachagga na wachagga wote ni CHADEMA na husema wazi kabisa si mliichagua serikali wenyewe ngoja tuwaonyeshe
Kwa mtazamo wangu, bado haileti mantiki. Mimi nadhani hilo ombi la TRA la kutaka kukutana naye, labda litamsaidia kupata elimu kuhusu kodi.Hamaanishi wapinzani wa kisiasa bali wapinzani wa kazi zake za sanaa na vyombo vya habari mkuu.
Yeah hata mimi naimani na hilo. Unajua Kuna watu wengi hawana elimu ya Kodi, wengi wanaelewa VAT tu kumbe kuna kodi zaidi ya hiyo kwenye uwekezaji na Aina ya uwekezaji so wanapoona wanakatwa kiwango flani katika mapato yao wanadhani wanadhurumiwa.Kwa mtazamo wangu, bado haileti mantiki. Mimi nadhani hilo ombi la TRA la kutaka kukutana naye, labda litamsaidia kupata elimu kuhusu kodi.
Bunge halitungi sheria ila linaandika sheria kutokana na miswanda iliyotungwa na wataalam serikalini na kwenye kodi mshauri wa serikali ni TRAWanafata sheria zilizotungwa na bunge , hate the game not players.
Ndo umeandika nini sasa ? Sheria zote zinatoka bungeni .Bunge halitungi sheria ila linaandika sheria kutokana na miswanda iliyotungwa na wataalam serikalini na kwenye kodi mshauri wa serikali ni TRA
Tumia akili zako mwenyewe wakati mwingineNdo umeandika nini sasa ? Sheria zote zinatoka bungeni .
Miswada ni kama proposal tu final ipo bungeni, ndo maana tunasema bunge linatunga sheria