Diamond:Diva kila siku ananisumbua anataka kazi Wasafi TV mimi sitaki

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,537
Reaction score
3,873
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi mkubwa unaoendelea chini kwa chini kati yake na mtangazaji Diva The Bawse anayeendesha kipindi cha Ala za roho kupitia Clouds FM,
Diamond amefunguka hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari akiwa njiani kwenye usafiri wa treni kurejea Dar es Salaam baada ya kumaliza shoo yake iliyofanyika hivi karibuni Kigoma.
“Diva kila siku anasumbua ananipigia simu anaomba kazi Wasafi TV, amewapigia na watu wengi tu wa karibu yangu akiwemo Lilian Mwasha na wengine, anasema anataka kuleta kipindi chake cha usiku Wasafi TV. Mimi nimekataa siwezi kumpokea, labda kama menejimenti watakubali lakini mimi sitaki''.
''Mimi nimesema sitaki wewe uje wasafi Tv kwahiyo ndomana hapa katikati ameongeza chuki nyingi lakini mimi sina imani naye na sitaki kuiua wasafi kwaiyo siwezi kumpokea nilivyosema sitaki akaona afanye bifu kuwa bifu ila mi namsamehe tu bure'' alisema Daimond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiutaratibu Diamond hajui maana ya kazi,haiwezekani kwa mtu mkubwa kama yeye aje atoe siri kama hiyo tena kuhusu kampuni yake,ategemee mengi yatavuja kutoka wasafi,ategemee hilo kuanzia sasa,maana kaanza kuharibu mwenyewe siri za ndani za kampuni yake.
 
Sasa mtu wa std 7,aliyekulia tandale ambae amepata vijisent mambo ya Skills,Leadership,professionalism kwny Co. atayajulia wapi?huku washauri wake ni dizaini ya wakiwa ni Babu Tale,Said Fella etc

Elimu sometimes haina subsitute kwny baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa[emoji16] boss mwenye uelewa hawezi kutaka kuongelea kitu kama hiko kwa sababu hakina impact yoyote kweny station yake, labda kama zile story za wananzengo kwamba kituo kinaendeshwa kwa kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu apo acha kujiaminisha ujinga #Kwako mwalimu kashasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wote mliochangia hapa kuwa mond sijui hana skills za uongozi, ilibidi akae kimya... hv mnajua mnachokiongea? mpaka hapo alipofika mond n lini mshawahi ona akawa na msemaji mkuu wa mambo yake? je, mnafikiri kwa hilo jibu nan keshaonekana mpuuzi? nachompendea mond akikujibu lazima ujihisi kuchanganyikiwa
 
Takataka ya wasafi..

Endelea kupenda majibu ya huyo uliyemtaja. Km itakupendeza upende na maswali ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…