Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi mkubwa unaoendelea chini kwa chini kati yake na mtangazaji Diva The Bawse anayeendesha kipindi cha Ala za roho kupitia Clouds FM,
Diamond amefunguka hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari akiwa njiani kwenye usafiri wa treni kurejea Dar es Salaam baada ya kumaliza shoo yake iliyofanyika hivi karibuni Kigoma.
“Diva kila siku anasumbua ananipigia simu anaomba kazi Wasafi TV, amewapigia na watu wengi tu wa karibu yangu akiwemo Lilian Mwasha na wengine, anasema anataka kuleta kipindi chake cha usiku Wasafi TV. Mimi nimekataa siwezi kumpokea, labda kama menejimenti watakubali lakini mimi sitaki''.
''Mimi nimesema sitaki wewe uje wasafi Tv kwahiyo ndomana hapa katikati ameongeza chuki nyingi lakini mimi sina imani naye na sitaki kuiua wasafi kwaiyo siwezi kumpokea nilivyosema sitaki akaona afanye bifu kuwa bifu ila mi namsamehe tu bure'' alisema Daimond.
Sent using Jamii Forums mobile app