Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Mimi sijasema sehem yoyote viwers ni pesa

Hizo show unazo diss sio pesa ,ni kitu gan? ,we anajua hizo endorsement unazosema sio zamaana analipwa sh ngap?
Mkuu ww umeshapga endorsement ngapi mpaka saiz? [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Nyimbo zote zimetayarishwa na mtayarishaji mmoja aitwaye Kelpvibe, ndiyo maana katika hizo nyimbo anatajwa mwanzoni kabisa“

Gazeti la Mwananchi

 
Kwani tanzania ina diamond [emoji881] peke ake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mbunifu sana, naona watu wamegeuka kuwa wachunguzaji wa kila anapotoa video ilimradi wapate kasoro ya kucopy paste, nae naona ndo hapa hapa kwa kukazia
 
kweli wabongo ujinga bado unatutesa..
eti amezidi kukopi, je ameshashtakiwa mara ngapi.. pia hiyo ngoma ukiisikia kwa kuweka mihemko na chuki pembeni utagundua kuwa haiendani kabisa na hizo mmasosema kakopi. sema tu ni kwamba producer ni mmoja , hivyo ni lazima baadhi ya vionjo viendane.

kama unabisha we fuatilia nyimbo zilizoandaliwa na yule producer wa nigeria anaitwa sijui KRIZBEAT- ndio utaona jinsi biti zake zinamfanano. hata hapa bongo ngoma kibao tu biti zinafanana. sema tu nyie roho mbaya mnaopiga ramli tokea mwaka 2012 kuwa mond kaishiwa ndio kila akitoa ngoma hamkosi kukitesa mioyo kwa kuiponda.. kibaya zaidi diamond mmeshakosa wa kumfananisha nae hapa bongo, mmebaki mnatapatapa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaongelea pepsi? Pepsi hii inayolipa wacheza mpira maharufu kama kina messi, pogba, mo sarah nk. Unasema hawalipi bajet yao ndogo? Unaandikia miemko au unafikilia unachokiandika? Pepsi ni big brand kuliko hata iyo beraire cjui


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tufikishe viewers milioni 100 na tunatumia kiswahili na watanzania wenye smartphones hawazidi milioni 15(makadirio) na wasanii wengi wamebase soko la ndani afu unategemea wapate milion 100[emoji58][emoji58] unachoongea unafikilia au miemko tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Falz-Jeje
Ricardo Banks Easy-Jeje
Limoblaze ft Asha Elia-Jeje
DJ Exclusive ft Wizkid-Jeje
Sista Afia ft Shatta Wale-Jeje

Kwenye kukopi jina inakuja inakataa. Hii Jeje inawezekana ni neno la lugha Fulani au jina maarufu katika jamii Fulani Africa magharibi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…