ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mkuu coffee imeexpire kipindi hikiAngefanya na yule coffee wa bet
Huu mwimbo unanikumbushaga mengi fulani. Naupenda pia sana
Umeitwa? Umelazimishwa kusoma?? Kama haikuhusu shobo za nini???so what??? did they pay you for it?
Umeitwa? Umelazimishwa kusoma?? Kama haikuhusu shobo za nini???
KAHAWA NYEUSI is the enemy of DIAMONDMkuu coffee imeexpire kipindi hiki
ZIMEBAKI DAKIKA 20 KUFUTURU TAMBI BADO ANALALAMA TUEmbu acheni hasira kwani mmelazimishwa kufunga?muda wa kufuturu unakaribia mkale futari mvimbishe vitumbo hivyoo!
Embu acheni hasira kwani mmelazimishwa kufunga?muda wa kufuturu unakaribia mkale futari mvimbishe vitumbo hivyoo!
Kuna watu hawajielewi alafu wanaboa! Wewe kama unaona uzi haukuvutii au 'not intelligent enough' kwa mtazamo wako... Si unaachana nao tu unaenda kwenye nyuzi zinazokuvutia!! Hii ishu ya kudharau watu ni upuuzi sana na kutojielewaZIMEBAKI DAKIKA 20 KUFUTURU TAMBI BADO ANALALAMA TU