ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tuliyokuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyowashirikisha akina Psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza waliachiwa wao akina Peter na Paul! Wale walioulizwa kipindi kile kama wanamfahamu Diamond wakasema NO!
Mond anasema hii ndo best hit kwake! Kikubwa tuwe pamoja hapa
Mond anasema hii ndo best hit kwake! Kikubwa tuwe pamoja hapa