Diamond hafikii mziki huu.kiki tu inampaisha na jina

Ni kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!
Ila angebadili hata producer sio kila ngoma Yale matarumbeta na beat za laizer!
Kiukweli angekuwa vizuri sana ingawa anasema zile kama za zamani hazimlipi kama hizi za sasa mkuu
Yeah
music ni business lazima aangalie soko lake la kimataifa linataka nini
 
hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
Ni kweli kabisa. Bora umwambie ukweli kuliko kumdanganya. Ukiisikiliza huo wimbo hauna tofauti kabisa na nyimbo zake nyingine. Yaani hakuonyesha ubunifu mpya. Kachukua biti zake za nyimbo za nyuma na kupesti
 
hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
Sheeda Kubwa ya Watanzania Ni kukosa Apreciation..kwani Naseeb alipofika pale ilikuwa Muujiza au Hardwork? Ametengeneza Jina Kubwa Africa na TZ pia so ata atoe Ngoma Gani lazma isikilizike kutokana na Jina alilojitengenezea ni sawa na Lionel Mesi kwenye Mpira!
 
Ni kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!
Ila angebadili hata producer sio kila ngoma Yale matarumbeta na beat za laizer!
Kiukweli angekuwa vizuri sana ingawa anasema zile kama za zamani hazimlipi kama hizi za sasa mkuu
Samahan mkuu, unaweza nitajia jina la wimbo wa Diamond alioutengeneza Laizer hata moja tu[emoji4]
 
Diamond wa sasa sio kama yule wa zamani... Dunia inabadilika na watu pia hubadilika
 
Wingi wa wimbo ni upi ?
umoja>>Wimbo
wingi>>Nyimbo
Ila kwa muktadha wa maandishi yake,ndugu yangu alikusudia kujua jina la wimbo (mmoja) na sio majina ya nyimbo (nyingi)....
Alipaswa aandike "wimbo unaitwaje huo?"...na sio "nyimbo inaitwaje hiyo?"
Hata kama alikusudia kuandika kwa wingi,bado alikuwa amepotoka...maana alipaswa aandike "nyimbo zinaitwaje hizo?"
 
Asante sana

Kwa ufafanuzi wa kitaalamu
 
Kuna nyimbo ya qboy msafi ni nzuri balaaaaa ,,daimond nahisi katutania tu hayuko sirias
 
Back
Top Bottom