Diamond hafikii mziki huu.kiki tu inampaisha na jina

Diamond hafikii mziki huu.kiki tu inampaisha na jina

Alishasema anaangalia soko la kimataifa. Wabongo tunapendaga nyimbo za kulia lia. Lkn hizo hazipewi kipaumbele kimataifa.
Anafanya biashara apate mpunga ana familia, hafanyi kuburudsha nafsi ya kila mtu.
 
Hivi kwanini watu wengi wanadhani Diamond anaishi Madale? yule jamaa anaishi Mivumoni sehemu moja inaitwa Container.
Tofauti iko wapi note Kule madale sema ndio mwingine mivumoni,container,bwawan,ccm etc etc
 
Ndivyo walivyo wasanii wetu, angalia mtu kama chris brown yani sikuhiz hamna cha maana anachoimba mfano wimbo kama "privacy".
You can't be serious !!
Ubaya wa privacy ni upi?
Ukianzia audio, ile melody,lyrics & things of the kind halafu nenda kwenye video ndo kali balaa, mkuu privacy ni wimbo mzuri sana sana
 
Ni kweli kabisa. Bora umwambie ukweli kuliko kumdanganya. Ukiisikiliza huo wimbo hauna tofauti kabisa na nyimbo zake nyingine. Yaani hakuonyesha ubunifu mpya. Kachukua biti zake za nyimbo za nyuma na kupesti
Ebu Oredhesha listi ya hizo nyimbo zake halizochukua akacopy na kupaste mkuu.
 
Huyu mtu kaishiwa mistari kila siku nikupeleke kwa mama yng,kwenye kudance ubunifu ndo zero kabisa style ni zile zile ambazo utazikuta ktk wimbo wa rayvanny na harmonize..akajipange upya.
 
Huyu mtu kaishiwa mistari kila siku nikupeleke kwa mama yng,kwenye kudance ubunifu ndo zero kabisa style ni zile zile ambazo utazikuta ktk wimbo wa rayvanny na harmonize..akajipange upya.
Matanga lini.......mtakufa mikono juu maana mmekalia kooni utafikiri analala na mama zenu
 
Back
Top Bottom