Haya ni matusi kwa Diamond aisee...
Juzi imezinduliwa KAMUSI bungeni...Nyimbo inaitwaje hiyo...?
Juzi imezinduliwa KAMUSI bungeni...
Imesisitiza hakuna maneno "nyimbo inaitwaje"...
Bali kuna "wimbo unaitwaje"
YeahNi kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!
Ila angebadili hata producer sio kila ngoma Yale matarumbeta na beat za laizer!
Kiukweli angekuwa vizuri sana ingawa anasema zile kama za zamani hazimlipi kama hizi za sasa mkuu
Acha utani basNdivyo walivyo wasanii wetu, angalia mtu kama chris brown yani sikuhiz hamna cha maana anachoimba mfano wimbo kama "privacy".
Wingi wa wimbo ni upi ?Juzi imezinduliwa KAMUSI bungeni...
Imesisitiza hakuna maneno "nyimbo inaitwaje"...
Bali kuna "wimbo unaitwaje"
Domondi hakuna kitu Mkuu. Amebaki kulamba midomo tuWhat!!??
Ni kweli kabisa. Bora umwambie ukweli kuliko kumdanganya. Ukiisikiliza huo wimbo hauna tofauti kabisa na nyimbo zake nyingine. Yaani hakuonyesha ubunifu mpya. Kachukua biti zake za nyimbo za nyuma na kupestihata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
Sheeda Kubwa ya Watanzania Ni kukosa Apreciation..kwani Naseeb alipofika pale ilikuwa Muujiza au Hardwork? Ametengeneza Jina Kubwa Africa na TZ pia so ata atoe Ngoma Gani lazma isikilizike kutokana na Jina alilojitengenezea ni sawa na Lionel Mesi kwenye Mpira!hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
Samahan mkuu, unaweza nitajia jina la wimbo wa Diamond alioutengeneza Laizer hata moja tu[emoji4]Ni kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!
Ila angebadili hata producer sio kila ngoma Yale matarumbeta na beat za laizer!
Kiukweli angekuwa vizuri sana ingawa anasema zile kama za zamani hazimlipi kama hizi za sasa mkuu
Acha utani bas
Privacy mbaya ?[/QUOTE nyimbo mbaya na pia ameimba ujinga tu .
umoja>>WimboWingi wa wimbo ni upi ?
Asante sanaumoja>>Wimbo
wingi>>Nyimbo
Ila kwa muktadha wa maandishi yake,ndugu yangu alikusudia kujua jina la wimbo (mmoja) na sio majina ya nyimbo (nyingi)....
Alipaswa aandike "wimbo unaitwaje huo?"...na sio "nyimbo inaitwaje hiyo?"
Hata kama alikusudia kuandika kwa wingi,bado alikuwa amepotoka...maana alipaswa aandike "nyimbo zinaitwaje hizo?"
Shukran!Asante sana
Kwa ufafanuzi wa kitaalamu