Zeeka vizuri basi
Tofauti iko wapi note Kule madale sema ndio mwingine mivumoni,container,bwawan,ccm etc etcHivi kwanini watu wengi wanadhani Diamond anaishi Madale? yule jamaa anaishi Mivumoni sehemu moja inaitwa Container.
mkuu umenielewa .
namtaka mond wetu wa zamani. zamani alikuwa akitoa wimbo kila mtu anakaa chini
You can't be serious !!Ndivyo walivyo wasanii wetu, angalia mtu kama chris brown yani sikuhiz hamna cha maana anachoimba mfano wimbo kama "privacy".
Jamaa hayuko serious mkuuAcha utani bas
Privacy mbaya ?
Ebu Oredhesha listi ya hizo nyimbo zake halizochukua akacopy na kupaste mkuu.Ni kweli kabisa. Bora umwambie ukweli kuliko kumdanganya. Ukiisikiliza huo wimbo hauna tofauti kabisa na nyimbo zake nyingine. Yaani hakuonyesha ubunifu mpya. Kachukua biti zake za nyimbo za nyuma na kupesti
Pia walikuwepo wakina King kiki na Babu seyaZamani Diamond hakuwepo, walikuwepo kina Gurumo na Msondo.
Inavyoonekana ni mshabiki maandazi wa MondiEbu Oredhesha listi ya hizo nyimbo zake halizochukua akacopy na kupaste mkuu.
Matanga lini.......mtakufa mikono juu maana mmekalia kooni utafikiri analala na mama zenuHuyu mtu kaishiwa mistari kila siku nikupeleke kwa mama yng,kwenye kudance ubunifu ndo zero kabisa style ni zile zile ambazo utazikuta ktk wimbo wa rayvanny na harmonize..akajipange upya.