Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo