Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo
 
KUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?

Maisha hayako hvy mkuu hata siku moja,wengine wapo kwa ajili ya njia ya kupitia kuelekea mafanikio.
Je wewe unawakumbuka wote waliokulea ukiwa mdogo?Ushawapa nini walimu wako waliokufundisha Shule?Uliwahi mpa mmoja wapo hata kipande cha sabuni?
Vipi kuhusu ndugu na marafiki waliokusaidia zamani hivi sasa unawasanidia kwa lipi??Sio lazima uwe tajir kutoa ni moyo.
 
Agiza supu hapo chap
 
Hiyo itakua ni kupangiana maisha mkuu, sio sahihi. Hata wewe una uhuru wa kufanya kile unaona sawa ila bado watu watakuona hujatenda haki.
Mwisho wa siku kila mtu afanye kile anaona ni kizuri kwake sababu huwezi furahisha binadamu wote.
 
KUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?

Maisha hayako hvy mkuu hata siku moja,wengine wapo kwa ajili ya njia ya kupitia kuelekea mafanikio.
Je wewe unawakumbuka wote waliokulea ukiwa mdogo?Ushawapa nini walimu wako waliokufundisha Shule?Uliwahi mpa mmoja wapo hata kipande cha sabuni?
Vipi kuhusu ndugu na marafiki waliokusaidia zamani hivi sasa unawasanidia kwa lipi??Sio lazima uwe tajir kutoa ni moyo.
Upo sahihi ila sio safi sana
 
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo
Mkuu unaelewa nini kuhusu maisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajamfungulia account ya audiomac Robidinyo sio safi
Hajamlipia kodi ya miezi 3 Numbisa hii sio safi kabisa
Huenda anampendelea kumpa Mb's za internet innocent dependent sio safi
Hahaha hajampa kitengo cha it MziziMkavu sio safi(nakumbuka ile website yake imekufa kiajabu ajabu,nakumbuka ile platfom yake ya kuuza nyimbo tsh 300 nayo sio saafi)
 
KUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?

Maisha hayako hvy mkuu hata siku moja,wengine wapo kwa ajili ya njia ya kupitia kuelekea mafanikio.
Je wewe unawakumbuka wote waliokulea ukiwa mdogo?Ushawapa nini walimu wako waliokufundisha Shule?Uliwahi mpa mmoja wapo hata kipande cha sabuni?
Vipi kuhusu ndugu na marafiki waliokusaidia zamani hivi sasa unawasanidia kwa lipi??Sio lazima uwe tajir kutoa ni moyo.

Umemmjibu kwa busara mno na kumuelemisha. Big up

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom