Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Agiza supu hapo chapKUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?
Maisha hayako hvy mkuu hata siku moja,wengine wapo kwa ajili ya njia ya kupitia kuelekea mafanikio.
Je wewe unawakumbuka wote waliokulea ukiwa mdogo?Ushawapa nini walimu wako waliokufundisha Shule?Uliwahi mpa mmoja wapo hata kipande cha sabuni?
Vipi kuhusu ndugu na marafiki waliokusaidia zamani hivi sasa unawasanidia kwa lipi??Sio lazima uwe tajir kutoa ni moyo.
Hiyo itakua ni kupangiana maisha mkuu, sio sahihi. Hata wewe una uhuru wa kufanya kile unaona sawa ila bado watu watakuona hujatenda haki.Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo
Upo sahihi ila sio safi sanaKUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?
Maisha hayako hvy mkuu hata siku moja,wengine wapo kwa ajili ya njia ya kupitia kuelekea mafanikio.
Je wewe unawakumbuka wote waliokulea ukiwa mdogo?Ushawapa nini walimu wako waliokufundisha Shule?Uliwahi mpa mmoja wapo hata kipande cha sabuni?
Vipi kuhusu ndugu na marafiki waliokusaidia zamani hivi sasa unawasanidia kwa lipi??Sio lazima uwe tajir kutoa ni moyo.
SafiSawa tumekuelewa tupe muda kidogo mambo ni mengi muda ni mchache
Sio kweliSawa beka flavor
Mkuu unaelewa nini kuhusu maisha?Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo
Hahaha hajampa kitengo cha it MziziMkavu sio safi(nakumbuka ile website yake imekufa kiajabu ajabu,nakumbuka ile platfom yake ya kuuza nyimbo tsh 300 nayo sio saafi)Hajamfungulia account ya audiomac Robidinyo sio safi
Hajamlipia kodi ya miezi 3 Numbisa hii sio safi kabisa
Huenda anampendelea kumpa Mb's za internet innocent dependent sio safi
soma vizuriYaani unampangia mtu cha kufanya
maisha ni KUTAFUTANA
KUNA VITU VINGINE VINACHEFUA KWELI HIVI NI MTU GANI ANAWEZA FANYA HIVYO? KUWA KILA ALIEKUWA KWENYE NJIA YAKE KUELEKEA MAFANIKIO NI LAZIMA AFUNGAMANE NAE PIA HATA BAADA YA MAFANIKIO?