Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefunguka kuzungumzia sakata la kutaka kurogwa na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto ikiwa ni siku chache toka audio inayodaiwa kuwa ya mrembo huyo isambae mtandaoni akisikika kuzungumza na mtu anayeadaiwa kuwa ni mganga kuhusu familia ya rais huyo wa WCB.

“Unapotaka kwenda kwa mganga uniroge mimi na mama yangu, unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu, kama unawaza sijui nikupe nyumba".

"Voice notes zinasambaa sambaa hata mimi nilitumiwa, ninazo ,unasikia kitu, halafu unajua huyu ni yeye[Hamisa Mobeto], halafu nikamwambia huyu ni wewe,” alisema Diamond kupitia Refresh ya Wasafi TV.

”Watu kuna vitu wanaongea ongea halafu wanajaribu kuvipindisha aonekane Mama yangu na dada yangu wana matatizo,
Mama yangu na dada yangu hawawezi kuwa na matatizo."

"Halafu hao watu wako unaowatuma wakatukane, nimeshakuona ukiwatuma wakatukane kwa watu wengine kwa sababu pia uliwatuma pia wamtukane na Zamaradi,”

Source: Bongo 5
 
Mabilionea hua hawana story complicated sijui eti 'Njia za kupata mtaji' au 'Cha kufanya biashara isiende belly up' wao stori zao ni simpo tu, mara Diamond kafa au Mobeto kamloga Diamond.

Tukiongozwa na Bilionea mwenzetu Bilionea Asigwa
 
diamond mjanja sana.. anatumia drama life style kumfanya awe juu siku zote..

juzi kasuka.. kaongelewa kila sehemu.. mtandao kauteka wote.

leo kaibuka na drama ya kurogwa..

huyu jamaa lazima awe tajiri tu.. ana akili sana ya kupata hela
 
mliosikiliza izo voice note uyo anayeongea ni Hamisa kweli au sauti za kutengeneza?

kama ni yeye kweli anawezaje kuongea hayo mambo kwenye simu?

kama niyakutengeneza basi wahusika walipaswa kuvikwa nyuklia uko North Korea
 
diamond mjanja sana.. anatumia drama life style kumfanya awe juu siku zote..

juzi kasuka.. kaongelewa kila sehemu.. mtandao kauteka wote.

leo kaibuka na drama ya kurogwa..

huyu jamaa lazima awe tajiri tu.. ana akili sana ya kupata hela
Ndio style aliyoichagua. Being on his fans' minds all the time.

Meanwhile, Alikiba yeye kaamua kuwa na maisha ya kumaintain privacy. He is winning his fans' hearts!

If you would ask for my opinion, i would tell you to win their hearts and leave their minds alone!

Bahati nzuri wote wanaishi maisha wanayoyapenda!
 
diamond mjanja sana.. anatumia drama life style kumfanya awe juu siku zote..

juzi kasuka.. kaongelewa kila sehemu.. mtandao kauteka wote.

leo kaibuka na drama ya kurogwa..

huyu jamaa lazima awe tajiri tu.. ana akili sana ya kupata hela
unawezaje kumchafua mtu kiasi icho kisa tu uongelewe? kuna watu wanaroho mbaya kupitiliza
 
Wasafi wamewateka wajinga,wanajua wajinga wanapenda nini,wao wanaingiza pesa tu
 
Diamondi kaa kimia....hakuna uchawi ukiona una mke anaenda kwa waganga achana nae maana atamegwa na mganga tafta pesa waganga matapeli tu
 
Angekaa kimya ingemsaidia sana
 
Aaaaahhh....kumbe hizi ndiyo story za mabilionea!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…