Lakunle
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 635
- 586
Na ile tuzo lazima atashinda tuu maana so Kwa drama hizidiamond mjanja sana.. anatumia drama life style kumfanya awe juu siku zote..
juzi kasuka.. kaongelewa kila sehemu.. mtandao kauteka wote.
leo kaibuka na drama ya kurogwa..
huyu jamaa lazima awe tajiri tu.. ana akili sana ya kupata hela