Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

mliosikiliza izo voice note uyo anayeongea ni Hamisa kweli au sauti za kutengeneza?

kama ni yeye kweli anawezaje kuongea hayo mambo kwenye simu?

kama niyakutengeneza basi wahusika walipaswa kuvikwa nyuklia uko North Korea
Huyu hamisa kama kweli anaweza kuongea upuuzi ule kwenye simu basi ni tahira kiwango cha dreamliner ....wenzake tukiwa na madeal ya maana hatuongelei kwenye simu kitu kinapigwa uso kwa uso..

Halafu mtu ambaye mpaka sasa hivi anaamini kwenye uchawi basi akili zake haziko sawa sana
 
Kurogwa mbona kitu cha kawaida tuu na hizo ndio taratibu na tamaduni zetu za kiafrika. Mi nirogwe tuu ila nisiwe zuzu au nisifanywe nishindwe kutafuta hela. Kuna vitu ni vitamu jamani acheni viroge tuu.
 
Huyu hamisa kama kweli anaweza kuongea upuuzi ule kwenye simu basi ni tahira kiwango cha dreamliner ....wenzake tukiwa na madeal ya maana hatuongelei kwenye simu kitu kinapigwa uso kwa uso..

Halafu mtu ambaye mpaka sasa hivi anaamini kwenye uchawi basi akili zake haziko sawa sana
Unaamini vipi kama huyo ndio ameongea hayo? Unaifahamu vizuri teknolojia ilipofikia? Unaelewa lolote kuhusu setup na blackmail?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mchawi kaumbuka...KWISHINEI...BRAND IS DOWN. tummzika mobetto, Steve nyerere wa rambaramba uko wapi mzee baba?
 
January haiko mbali tujikite kuandaa ada za watoto msije mkaona kama mlishtukizwa, achaneni na hawa wapuuzi wote.
Napenda muziki wake lakini sipendi upuuzi na uswahili wake falla huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
January mbali mkuu, kun hii quarter ya mwisho inafuatia ndani ya wiki mbili
 
Wanaume tunarogwa sana sema ndio vile wengine sisi na watu wa kusali sana.Lakini waganga fake nao wanatusaidia, wanapiga tu hela kwa dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ukiendekeza njaa kudhalilika hakuishi its time hamisa apate akili uache kumganda huyu bwana kaka maana kila majina ushamuita yumo tuuu.....
 
Kapumbavu kweli haka kavulana hilo domo.
Kanafikiri kutafuta kiki kwa kumsingizia mzazi mwenzie ni akili.
 
Ndio tabu ya kuchagua mpenzi kwa kuangalia muonekano,Kama kweli umeachana na zari tegemea majanga Kama hayo yakutosha tuu!!
 
unawezaje kumchafua mtu kiasi icho kisa tu uongelewe? kuna watu wanaroho mbaya kupitiliza
Hafu MTU anayemvulia chupi, na kumzalia yeye huwazalilisha ma baby mamas
 
Hafu MTU anayemvulia chupi, na kumzalia yeye huwazalilisha ma baby mamas
ila nilichogundua Hamisa na yeye kakaa mkao wa kudhalilishwa hasipotafuta maisha nje ya diamond yatamkuta makubwa zaidi
 
ila nilichogundua Hamisa na yeye kakaa mkao wa kudhalilishwa hasipotafuta maisha nje ya diamond yatamkuta makubwa zaidi
Ni kweli sikuhizi.usipokuwa na kitu hauheshimiwi kabisa diamond ana muoga Zari maana anajielewa
 
Kapumbavu kweli haka kavulana hilo domo.
Kanafikiri kutafuta kiki kwa kumsingizia mzazi mwenzie ni akili.
hako kadada ndio kapumbavu, kanamg'ang'ania domo wa nn huku kanadhalilishwa kila siku
 
Back
Top Bottom